Kirinyaga kuzindua kiwanda cha kuongeza nyanya thamani

Na SAMMY WAWERU KIRINYAGA ni miongoni mwa kaunti zinazozalisha zao la nyanya kwa wingi nchini. Gavana wa kaunti hiyo, Anne Waiguru...

LISHE: Supu ya nyanya

Na MARGARET MAINA mwmaina@ke.nationmedia.com KATIKA kipindi hiki cha baridi kali, supu ya aina tofauti ni muhimu hasa unapotaka...

Nyanya na vitunguu ghali zaidi, viazi na karoti zashuka bei

NA CHARLES MWANIKI BEI ya vyakula imepanda kwa asilimia 10.6 katika kipindi cha mwezi mmoja uliopita, ikilinganishwa na asilimia 11.6...

AKILIMALI: Amekitegemea kilimo cha mboga na nyanya kimapato kwa miaka kadhaa

Na PHYLLIS MUSASIA KIJIJI cha Kipsoni, Moiben, Kaunti ya Uasin Gishu si tofauti na maeneo mengine nchini. Wakazi wengi wa hapa...

AKILIMALI: Mradi unaosaidia shule kukimu mahitaji msingi

Na RICHARD MAOSI TUNAKUMBANA na hema la kivungulio (greenhouse) tunapokaribishwa katika majengo ya shule ya wavulana ya Jomo Kenyatta...

Uhaba wa nyanya waendelea kushuhudiwa bei ikipanda

Na SAMMY WAWERU UHABA wa nyanya umeshuhudiwa maeneo mbalimbali nchini kufuatia mvua inayoendelea kunyesha. Kiungo hicho cha mapishi...

MAARIFA YA KILIMO: Mvua, mafuriko yatakuponza zao la nyanya, ila hii mbinu itakuokoa

Na SAMMY WAWERU IWAPO umezuru masoko katika siku za hivi punde, utagundua kuwa zao la nyanya limesheheni, wateja waraibu wa kiungo hiki...

KILIMO: Anasifika kukuza nyanya licha ya ndoto yake kusomea kilimo kuzima

Na SAMMY WAWERU KATIKA kijiji cha Karii, wadi ya Kangai, Kirinyaga na karibu kilomita tisa kutoka Kagio, shamba la Erastus Muriuki ni...

AKILIMALI: Atia fora katika kilimo cha nyanya Vihiga

Na SAMMY WAWERU KATIKA kijiji cha Kedeta, Kisienya, Kaunti ya Vihiga, wakazi wengi wamekumbatia kilimo cha majanichai. Licha ya...

BIASHARA MASHINANI: Kilimo cha sukumawiki na nyanya chamfaa mkulima

Na SAMUEL BAYA UKIFIKA katika kijiji cha Ruiru-Solai, kuelekea Nyakinyua, Kaunti ya Nakuru, utaona kipande cha ekari moja na nusu...

KILIMO BIASHARA: Wakulima wa nyanya wanavyoendelea kuumia mikononi mwa mawakala

Na SAMMY WAWERU SEKTA ya kilimo inatoa mchango wake katika uchumi na mapato nchini Kenya. Serikali huvuna ushuru usiomithilika...

BIASHARA MASHINANI: Siri ya vuno kubwa la nyanya ni mbegu, mkulima aungama

Na CHRIS ADUNGO KILIMO ni kazi inayohitaji kujitolea kwingi na kuwa na uvumilivu ili kupata manufaa. Bw Njiru Gachoki ni mkulima wa...