Familia yaililia serikali iwasaidie kusaka mpendwa wao aliyetoweka

Na DIANA MUTHEU KWA mwezi mmoja sasa, Bi Regina David, 38 anasema kuwa hajajaliwa kupata usingizi mzito akiwaza ni wapi mumewe yuko,...

Anayetakiwa Afrika Kusini kwa utekaji nyara aachiliwa huru

  Na RICHARD MUNGUTI MFANYABIASHARA wa familia ya aliyekuwa mlanguzi wa dawa za kulevya marehemu Ibrahim Akasha, Haisam Majid...

Maiti ya mwanachuo mjamzito yapatikana msituni

JUSTUS OCHIENG' na PETER MBURU POLISI Kaunti ya Homa Bay wana kibarua kigumu kuchunguza na kufahamisha Wakenya watu walioteka nyara...

Msaidizi wa gavana ndani kwa kuteka nyara mwanahabari wa NMG

Na JUSTUS OCHIENG MAAFISA wa DCI Jumanne walimkamata Msaidizi wa Kibinafsi wa Gavana wa Kaunti ya Migori Okoth Obado, Michael Oyamo,...

Kobia alimteka nyara na kumtesa raia wa Congo kwa bunduki, mahakama yaambiwa

Na RICHARD MUNGUTI RAIA wa Congo aliyedaiwa kumlaghai mfanyabiashara maarufu wa humu nchini Bw Paul Kobia Sh40 milioni akidai angemuuzia...

Familia yamlilia Boinnet kuokoa jamaa yao aliyetekwa nyara

NA PETER MBURU FAMILIA moja kutoka kaunti ya Nakuru inamtaka Mkuu wa Polisi Joseph Boinett kuwasaidia kumpata mmoja wao ambaye anadaiwa...