Spika wa bunge la Kiambu aahirisha sherehe ya kumuapisha Nyoro gavana

Na MWANDISHI WETU SPIKA wa Bunge la Kaunti ya Kiambu Stephen Ndichu ameahirisha hafla ya kumuapisha James Nyoro awe Gavana baada ya jaji...

Nyoro kuteua naibu wake ndani ya siku 14

Na CHARLES WASONGA GAVANA mpya wa Kiambu James Nyoro atalazimika kuteua naibu wake ndani ya kipindi cha siku 14 ijayo kulingana na...

Nyoro aomba ushirikiano kuiboresha Kiambu

Na LAWRENCE ONGARO KUNA haja ya kufanya ushauri na wafanyabiashara wote wa Kiambu ili kuboresha hali ya uchumi katika kaunti...

Nyoro aadhibu mawaziri wa Waititu

Na SIMON CIURI NAIBU Gavana wa Kiambu, Bw James Nyoro ameanza kudhihirisha mamlaka yake kama kaimu kiongozi wa kaunti baada ya...

Tangatanga wamtishia Mutyambai, wataka Matiang’i ajiuzulu

IBRAHIM ORUKO na NDUNGU GACHANE WABUNGE wa Chama cha Jubilee wanaoegemea mrengo wa Tangatanga, sasa wametishia kumwadhibu Inspekta Mkuu...

MATHEKA: Viongozi wa makanisa wawazime wanasiasa

Na BENSON MATHEKA Vurumai zilizotokea katika kanisa la Gitui, Kaunti ya Murang'a mnamo Jumapili ambapo wanasiasa wa makundi mawili...

WANDERI: Kanisa lisiwe mateka wa wanasiasa nchini

Na WANDERI KAMAU UTAKATIFU wa maabadi ni nguzo kuu inayozingatiwa na dini zote hapa duniani. Licha ya tofauti za kimafundisho...

Siasa kanisani zapigwa marufuku

Na NDUNGU GACHANE ASKOFU wa Kanisa Katoliki Dayosisi ya Murang’a, amepiga marufuku wanasiasa dhidi ya kuhudhuria ibada kwenye makanisa...

Maandamano Murang’a baada ya Nyoro kukamatwa

NDUNGU GACHANE na CHARLES WASONGA SAA chache baada ya mbunge wa Kiharu Ndindi Nyoro kukamatwa Jumatatu jioni katika Kanisa la...

Sarakasi za Nyoro kanisani zamletea karaha

Na NDUNG GACHANE VIONGOZI wa makundi ya Kieleweke na Tangatanga Jumapili walikabiliana vikali kwenye hafla ya mchango wa harambee katika...

Nyoro adai jopo la BBI ni njama ya kumfaa Raila tu

Na NDUNGU GACHANE MBUNGE wa Kiharu Ndindi Nyoro, amepuuzilia mbali juhudi za Jopo la Maridhiano (BBI) kubadili Katiba, akisema kuwa...

Nyoro amnyorosha Baba Yao

Na RICHARD MUNGUTI NDOTO ya Gavana wa Kiambu, Ferdinand Waititu kurudi kazini imegonga mwamba baada ya Mahakama Kuu kuamuru asalie...