Wazee wa Nyumba 10 wadai mshahara

Na KENYA NEWS AGENCY WAZEE 5,000 wa Nyumba Kumi katika Kaunti ya Kitui sasa wanataka serikali iwape mshahara kwa “kazi ngumu”...

Jamii za maeneo ya mipakani zatakiwa zikumbatie Nyumba Kumi kukabili Covid-19

Na SAMMY WAWERU WIZARA ya Afya Alhamisi imethibitisha visa vipya 21 vya Covid-19, idadi jumla nchini Kenya ikifika 758. Kati ya...

Tunahangaishwa kwa kupiga vita pombe haramu – Nyumba Kumi

Na Phyllis Musasia VIONGOZI wa Nyumba Kumi eneo la Kuresoi Kusini, wametishia kususia majukumu yao kwa madai ya kunyanyaswa na...

Mbunge ataka wasimamizi wa Nyumba Kumi wapewe bunduki

Na KALUME KAZUNGU MBUNGE Mwakilishi wa Kike wa Kaunti ya Lamu, Bi Ruweida Obbo, ameiomba serikali kuwapatia wanachama wa Nyumba Kumi...

TAHARIRI: Serikali isiyaruhusu magenge ya uhalifu

[caption id="attachment_1646" align="aligncenter" width="800"] Msimamizi wa mpango wa Nyumba Kumi Bw Joseph Kaguthi. Picha/...

Magenge yateka Nyumba Kumi

Na MWANGI MUIRURI Kwa Muhtasari: Makundi haya yameibuka kwa visingizio kuwa yanalinda usalama, lakini badala yake yamekuwa ya...