Maseneta kuendesha vikao vya kukusanya maoni kuhusu mswada wa sheria za vyama

Na CHARLES WASONGA UMMA na wadau mbalimbali wana siku 14 za kutoa maoni na mapendekezo kuhusu mswada tata wa mageuzi ya sheria za vyama...