Hatimaye Oktay ajiuzulu,Gor kutangaza kaimu kocha mpya Alhamisi

Na CECIL ODONGO UONGOZI wa Mabingwa mara 18 wa Ligi Kuu(KPL) Gor Mahia, unatarajiwa kutangaza kaimu kocha mpya kesho baada ya Hassan...

Oliech hawezi kuteuliwa kuwa naibu kocha – Gor Mahia

NA CECIL ODONGO UONGOZI wa Gor Mahia umekanusha kwamba mshambulizi mkongwe Dennis Oliech amepokezwa kazi ya naibu mkufunzi huku hatima...

Kocha Oktay akanusha tetesi za kutoroka Gor Mahia

Na CECIL ODONGO KOCHA wa Gor Mahia Hassan Oktay ambaye aliondoka nchini jana kuelekea Uturuki, amefutilia mbali tetesi kwamba ameagana...