Msako waanzishwa dhidi ya genge la vijana wanaopora wenyeji barabarani

NA WINNIE ATIENO MSAKO mkali umeanzishwa dhidi ya genge moja la vijana linaloendelea kuhangaisha wakazi wa Mombasa hasa katika kivutio...

Kaunti yawatengea wavuvi mamilioni

Na WAANDISHI WETU WAVUVI katika Kaunti ya Mombasa wanatarajia kuvuna pakubwa kwani serikali ya kaunti imetenga Sh250 milioni kuboresha...

MJI WA KALE: Serikali yaruhusu shughuli za wafanyabiashara katika bandari ya zamani

Na WINNIE ATIENO AFUENI kwa wafanyabiashara wanaotegemea bandari ya zamani maarufu Old Port iliyoko Mji wa Kale - Old Town - baada ya...

Uchuuzi marufuku katika mitaa iliyofungwa

VALENTINE OBARA na WACHIRA MWANGI SERIKALI imezidisha masharti kwa wakazi wa mitaa ya Old Town mjini Mombasa, na Eastleigh katika Kaunti...

Baadhi ya wakazi washutumu hatua ya serikali kuufunga Mji wa Kale

Na MISHI GONGO WAKAZI mjini Mombasa wameshutumu serikali kwa kufunga Mji wa Kale, wakiitaja hatua hiyo kuwa kandamizi na kwamba...

Gavana wa Mombasa atishia kuweka ‘lockdown’ Mji wa Kale

MISHI GONGO na WINNIE ATIENO HUKU maambukizi ya ugonjwa wa Covid-19 yakiendelea kuongezeka katika Mji wa Kale, Kaunti ya Mombasa, gavana...