Tag: Ole Gunnar Solskjaer
- by T L
- November 21st, 2021
Man-United wamfuta kazi kocha Ole Gunnar Solskjaer
Na MASHIRIKA MECHI ya Ligi Kuu ya Uingereza (EPL) iliyokutanisha Manchester United na Watford ugani Vicarage Road mnamo Jumamosi ndiyo...
- by T L
- November 21st, 2021
Masaibu zaidi kwa Solskjaer baada ya Watford kupepeta Man-United ligini
Na MASHIRIKA WATFORD walizidisha masaibu ya kocha Ole Gunnar Solskjaer ugani Old Trafford kwa kuwapokeza Manchester United kichapo cha 4-1...
Familia ya Glazer kuuza hisa 9.5 milioni za Man-United kwa Sh21.4 bilioni
Na MASHIRIKA WAMILIKI wa Manchester United wametoa fursa kwa mashabiki wao kujinunulia hisa 9.5 milioni za thamani ya Sh21.4...
GUMZO LA SPOTI: Ole Gunnar alizuia mastaa 5 kuaga klabu
Na JOHN ASHIHUNDU MANCHESTER, Uingereza Kocha Ole Gunnar Solskjaer alifanikiwa kuzuia wachezaji watano kuondoka Old Trafford wakati...
Man-United padogo kuaga Europa League baada ya AC Milan kuwalazimishia sare ya 1-1 katika mkondo wa kwanza Old Trafford
Na MASHIRIKA UTEPETEVU wa mabeki wa Manchester United uliruhusu AC Milan ya Italia kutoka nyuma na kuwalazimishia sare ya 1-1 kwenye...
Sheffield United yaduwaza Manchester United ligini kwa kuichapa 2-1 ugani Old Trafford
Na MASHIRIKA MANCHESTER United walipoteza fursa nzuri ya kurejea kileleni mwa jedwali la Ligi Kuu ya Uingereza (EPL) mnamo Januari 27...
Wanasoka 11 waliowahi kunolewa na Sir Alex Ferguson na wakaishia kuwa makocha wakiwemo Rooney na Solskjaer
Na CHRIS ADUNGO WAYNE Rooney, 35, sasa ni kocha wa kikosi cha Derby County nchini Uingereza baada ya kuwa kaimu mkufunzi mkuu wa kikosi...
Manchester United sasa unyo kwa unyo na Liverpool kileleni mwa jedwali la EPL baada ya kupepeta Aston Villa 2-1 ugani Old Trafford
Na MASHIRIKA MANCHESTER United walipaa hadi kileleni mwa jedwali la Ligi Kuu ya Uingereza (EPL) kwa alama sawa na mabingwa watetezi...
Presha ya kunoa Man-United imenizeesha haraka – Ole Gunnar Solskjaer
Na MASHIRIKA KOCHA Ole Gunnar Solskjaer amesema ana matumaini kuwa kikosi chake cha Manchester United kitaiamarika zaidi na kurejea kuwa...
Man-United na Man-City nguvu sawa katika EPL
Na MASHIRIKA KOCHA Ole Gunnar Solskjaer amesema kwamba timu yake ya Manchester United iliridhisha zaidi katika gozi la Ligi Kuu ya...