TAHARIRI: Makanisa mengine nao waige mfano kanisa la ACK

NA MHARIRI MSIMU wa siasa huwa muda wa wanasiasa kufanya lolote. Ndio wakati ambao utawaona masokoni, matangani, harusini, na hata...

Askofu Ole Sapit awataka wanasiasa wapunguze joto la ‘kampeni za 2022’

Na CHARLES WASONGA KIONGOZI wa Kanisa la Anglikana Nchini (ACK) Jackson Ole Sapit amewataka wanasiasa kupunguza joto la kisiasa mwaka...

Raila asifu Sapit kwa kupigana na ufisadi kanisani

Na RUSHDIE OUDIA KIONGOZI wa ODM Raila Odinga amemiminia sifa Kiongozi wa Kanisa la Anglikana (ACK) Jackson Ole Sapit kwa kupiga...

Pesa zinazonyang’anywa wafisadi zitumike kulipa madeni – Ole Sapit

Na Mwandishi Wetu KIONGOZI wa Kanisa la Kianglikana Nchini (ACK) Askofu Mkuu Jackson Ole Sapit ameishauri serikali kutumia pesa na mali...

Fedha za umma zilizofujwa zirejeshwe upesi – Sapit

Na GERALD BWISA SERIKALI imeombwa kushinikiza kurejeshwa kwa pesa zilizoibwa katika ufisadi huku juhudi zikiimarishwa kupambana na...

Askofu aitaka NASA ikubali Uhuru Kenyatta ni Rais halali

Na SAMMY LUTTA na VALENTINE OBARA Kwa Muhtasari: Askofu Sapit asema kipindi cha kampeni kilikamilika 2017 na nchi inahitaji...