AFCON: Atawika nani kati ya Olunga na Mo’ Salah?

Na CECIL ODONGO HUKU timu ya taifa Harambee Stars ikitarajiwa kumenyana na Misri katika mechi ya kufuzu Taifa Bingwa Afrika (AFCON)...

Al Duhail anayochezea ‘Engineer’ Olunga yarejelea mazoezi baada ya Kombe la Dunia kwa Klabu

Na GEOFFREY ANENE AL Duhail SC imerejelea mazoezi Jumatano baada ya siku mbili za mapumziko. Klabu hiyo, ambayo imeajiri mshambuliaji...

Olunga apimwa corona kujiandaa kwa Kombe la Dunia la Klabu

Na GEOFFREY ANENE KLABU ya Al Duhail anayochezea nyota Mkenya Michael Olunga imepimwa virusi vya corona Jumatano ikisubiri kuanza...

Mambo yalivyokuwa katika dirisha la uhamisho kwa Wakenya ughaibuni

Na GEOFFREY ANENE Wanakabumbu Wakenya ughaibuni walikuwa na shughuli nyingi kutafuta makao mapya katika kipindi cha uhamisho cha Januari...

Olunga achezeshwa dakika 10 za mwisho Kashiwa ikigawana alama moja dhidi ya Oita Trinita

Na GEOFFREY ANENE NYOTA Michael Olunga alichezeshwa dakika 10 pekee timu yake ya Kashiwa Reysol ikikamilisha mechi tano za nyumbani bila...

Olunga mawindoni kusaidia Kashiwa Reysol kumaliza rekodi duni ya mechi nne bila ushindi nyumbani

Na GEOFFREY ANENE MSHAMBULIAJI matata Michael Olunga atatumai kusaidia Kashiwa Reysol kumaliza ukame wa mechi nne bila ushindi mbele ya...

Olunga afunga tena na kunusia taji la Mfungaji Bora katika Ligi Kuu ya Japan

Na CHRIS ADUNGO FOWADI matata wa Harambee Stars, Michael Olunga alifunga bao na kuchangia jingine katika ushindi wa 2-0 uliosajiliwa na...

Olunga aongoza Kashiwa kupiga Kashima Antlers akifikisha mabao 25 Ligi Kuu ya Japan

Na GEOFFREY ANENE MSHAMBULIAJI matata wa Kenya, Michael Olunga anazidi kutesa makipa kwenye Ligi Kuu ya Japan baada ya kupachika bao...

Matokeo mseto kwa wanasoka wa Kenya wanaocheza ligi za kigeni

Na GEOFFREY ANENE WANASOKA Wakenya wakiwemo Ismael Dunga, Joash Onyango na Joseph Okumu walikuwa katika orodha ya washindi kwenye ligi...

Olunga afunga bao na kuendeleza ubabe wake katika ligi kuu ya Japan

Na CHRIS ADUNGO FOWADI matata wa Harambee Stars, Michael Olunga aliendeleza ubabe wake katika soka ya Ligi Kuu ya Japan (J1-League) kwa...

Sababu za Olunga kukosa mechi nne zijazo za Harambee Stars

Na CHRIS ADUNGO SASA ni rasmi kwamba mfumaji Michael Olunga atakosa mechi nne zijazo za Harambee Stars, zikiwemo mbili dhidi ya Comoros...

Olunga azamisha Gamba Osaka

Na GEOFFREY ANENE Mshambuliaji matata Michael Olunga alifuma wavuni bao la pekee timu yake ya Kashiwa Reysol ikizamisha wenyeji Gamba...