Wazee Kisumu wataka serikali iwarejeshee joka lao la Omieri

Na ELIZABETH OJINA WAZEE kutoka eneobunge la Nyakach, Kaunti ya Kisumu sasa wanataka serikali irejeshe mabaki ya joka maarufu tena la...