Wakenya sasa wamlilia Okiya Omtatah awakomboe, wamfadhili kupitia M-Pesa

Na PETER MBURU MWANAHARAKATI Okiya Omtatah ambaye amegeuka mtetezi mkuu wa Wakenya kwenye masuala ya umuhimu wa kitaifa amezidi kupokea...

BEI GHALI: Omtatah afika mahakamani kuokoa Wakenya

Na RICHARD MUNGUTI MWANAHARAKATI Okiya Omtatah Jumatatu aliishtaki Serikali kwa kuongeza ushuru wa thamani ya ziada (VAT) kwa asilimia 16...

Makamishna 3 waliojiuzulu warudishe magari ya serikali – Omtatah

Na SAM KIPLAGAT MWANAHARAKATI Okiya Omtatah sasa anataka mahakama kushinikiza makamishna watatu wa Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka...

Omtatah afika kortini kupinga sheria mpya kwa madereva

Na RICHARD MUNGUTI MWANAHARAKATI Okiya Omtatah amewasilisha kesi mahakamani kupinga kuzinduliwa kwa maagizo mapya kuhusu madereva. Bw...

Omtatah aokoa mabilioni ya walipa ushuru

Na RICHARD MUNGUTI MAHAKAMA Kuu Jumanne ilimwokoa mlipa ushuru ilipofutilia mbali kandarasi ya Sh17 bilioni zilizokuwa zitozwe vinywaji...

Omtatah amletea matata wakili Ogeto

[caption id="attachment_1825" align="aligncenter" width="800"] Wakili Kennedy Ogeto aliyeteuliwa kuwa wakili mkuu wa Serikali na Rais Uhuru...