Sababu za Ozil kutaka kucheza soka ya kulipwa nchini Amerika au Uturuki kabla ya kustaafu

Na MASHIRIKA KIUNGO Mesut Ozil wa Arsenal yuko katia hatua za mwisho za kuondoka ugani Emirates huku akihusishwa pakubwa na kikosi...

ITABIDI MZOEE: Wakala afichua Ozil haondoki Arsenal hivi karibuni

Na CHRIS ADUNGO MESUT Ozil, 32, amezima tetesi zilizokuwa zikimhusisha na uwezekano wa kubanduka Arsenal kwa kufichua kwamba atasalia...

NINAONEWA: Bure bilashi ninaonewa miye, alia Ozil

Na MASHIRIKA MESUT Ozil amelalamikia hatua ya kutumiwa kama ‘kisingizio’ kila mara Arsenal inapopoteza mechi kubwa. Kiungo huyo,...

Unai kugeuza Ozil injini dhidi ya Chelsea

Na MASHIRIKA LONDON, Uingereza KOCHA wa Arsenal, Unai Emery amesisitiza kwamba Mesut Ozil atakuwa tegemeo kubwa kwenye fainali ya Europa...

Ozil asema habanduki Arsenal

NA CECIL ODONGO   NYOTA wa Arsenal Mesut Ozil amefichua kwamba hana nia ya kugura klabu hiyo baada ya msimu wa 2018/19...

Ozil ni mchawi wa gozi – Iwobi

Na CECIL ODONGO NYOTA wa Arsenal Alex Iwobi amekubali kwamba ni hidaya kwake kucheza pamoja na Mesut Ozil baada ya Mjerumani huyo...