Wataalamu wanaonya dhidi ya kutumia tembe za P2 kiholela

Na Leonard Onyango ILI kuepuka ujauzito, wasichana na wanawake wa umri mdogo wamekuwa wakitumia tembe za Postinor-2, maarufu kama P2,...