USWAHILINI: Si kila paka mweusi Pwani ni jini, lakini…

Na HAWA ALI MJI wa pwani wa Mombasa umejaa maonyesho ya asili yenye kuvutia ajabu. Jamii za wenyeji zinajulikana kuwa karimu na mara...