Jagina wa soka raia wa Senegal, Papa Bouba Diop aaga dunia

Na MASHIRIKA NYOTA wa zamani wa Fulham, Portsmouth na timu ya taifa ya Senegal, Papa Bouba Diop aliaga dunia mnamo Novemba 29, 2020...