Wakiukaji 1,600 wa masharti ya corona wanaswa Murang’a wakisherehekea Pasaka ndani ya mtindi

Na MWANGI MUIRURI WASHUKIWA 1,600 walinaswa katika Kaunti ya Murang'a wakikiuka masharti ya Covid-19 ndani ya uraibu wa pombe eti...

Pasaka ya hasara kwa wamiliki hoteli Pwani

Na KALUME KAZUNGU SEKTA ya utalii ukanda wa Pwani imepata pigo jingine wakati ambapo wenye hoteli sasa wanakimbilia kuzifunga hoteli zao...

Wakristo wakosa mbwembwe za Pasaka corona ikiwafungia

Na AFP MAMILIONI ya Wakristo kote duniani jana walijiandaa kwa wikendi nyingine ya Pasaka chini ya masharti makali kufuatia ongezeko la...

Pasaka chungu kwa wakazi wa kaunti tano

Na MARY WAMBUI WAKAZI wa kaunti tano za Nairobi, Kiambu, Machakos, Kajiado na Nakuru watasherehekea sikukuu ya Pasaka bila...

Wanasiasa waonywa wasitumie corona kujinufaisha kisiasa

Na TITUS OMINDE JUMAPILI ya Pasaka iliadhimishwa Jumapili bila shamrashamra zozote huku viongozi wa kidini wakipeperusha mahubiri yao...

Wakristo sasa wafanya ibada milimani na mapangoni kisiri

Na TITUS OMINDE BAADA ya serikali kupiga marufuku ibada katika makanisa na mikutano ya kidini kama njia moja ya kukabiliana na kuenea...

Pasaka ya dhiki

Na PETER NGARE SIKUKUU ya Pasaka inaanza Ijumaa dunia yote ikiwa imejaa dhiki, majonzi na maombolezo kutokana na virusi vya...

CORONA: Hakuna Pasaka kanisani, misa zote zitapeperushwa mtandaoni

NA AFP USIMAMIZI wa makao makuu ya Kanisa Katoliki duniani yaliyoko jijini Vatican, umetangaza kwamba maadhimisho ya sikukuu ya Pasaka...

Wafuasi wa Jehova Wanyonyi washerekea Pasaka bila mungu

Na TITUS OMINDE MIAKA minne tangu Jehova Wanyonyi, aliyejitawaza kuwa ‘Mungu’ kufariki na kuzikwa kisiri, wafuasi wa dhehebu hilo...

Zingatieni sheria za barabarani Pasaka hii, madereva waambiwa

Na CHARLES WASONGA IDARA ya Polisi imewataka wenye magari kuzingatia sheria za barabara katika msimu wa Pasaka ili kuzuia maafa kupitia...

Watalii wafurika Lamu kusherehekea Pasaka

NA KALUME KAZUNGU WATALII wanaendelea kufurika kisiwani Lamu kwa maadhimisho ya sherehe za Pasaka. Kufikia sasa idara ya utalii ya Lamu...

Ni kama drama! Miguna akumbana na masaibu zaidi wakati wa Pasaka

Na BENSON MATHEKA SAKATA ya wakili Miguna Miguna imegeuka kuwa mchezo wa sarakasi ila mchezo wenyewe unahusu masuala mazito ya haki za...