DKT FLO: Je, uzito kifuani huletwa na nini?

Nini kinachosababisha uzito kwenye kifua? Kris, Mombasa Mpendwa Kris, Hii ni mojawapo ya ishara kuu za mshtuko wa moyo na hivyo...

DKT FLO: Nitaongezaje unene kifuani na makalio?

Mpendwa Daktari, MIMI ni mwanamke mwenye umri wa miaka 30. Nahisi kwamba mimi ni mwembamba sana. Mbinu zipi salama za kuongeza unene...

DKT FLO: Dawa kupunguza uzani upesi gani?

Mpendwa Daktari, Kwa miezi kadhaa sasa nimeshuhudia uzani wangu ukiongezeka. Kuna dawa hususan ya kupunguza uzani upesi? Christine,...

DKT FLO: Kwa miezi 3 sasa koo yanisumbua

Nimekuwa nikikumbwa na maumivu ya koo kwa miezi mitatu sasa. Licha ya ya matibabu sijashuhudia mabadiliko. Je, hii yaweza kuwa dalili ya...

PATA USHAURI WA DKT FLO: Gesi tele tumboni huletwa na nini?

Mpendwa Daktari, Nimekuwa nikikumbwa na tatizo la gesi nyingi tumboni na kuteuka kila wakati. Hili ni tatizo lipi la...

PATA USHAURI WA DKT FLO: Nitashikaje mimba ya mtoto mvulana?

Mpendwa Daktari, Nataka kushika mimba ya mtoto mvulana. Hedhi zangu za mwisho zilikamilika Oktoba 9, 2021. Nitahesabu vipi siku ambazo...

PATA USHAURI WA DKT FLO: Kwa nini mjamzito huvuja damu puani?

Mpendwa Daktari, Ni nini kinachosababisha kuvuja damu kutoka puani na kwenye ufizi ukiwa mjamzito? Christine, Nairobi Mpendwa...

PATA USHAURI WA DKT FLO: Ukuvu mdomoni ni ishara ya HIV?

Mpendwa Daktari, Hivi majuzi marafiki zangu waliniambia kwamba mojawapo ya mbinu ya kutambua iwapo mtu ana virusi vya HIV ni kwa...

PATA USHAURI WA DKT FLO: Nitaongezaje mafuta mwilini?

Mpendwa Daktari, Kwa miezi kadhaa sasa uzani wangu umekuwa kati ya kilo 68 na 70 na kimo changu ni sentimta 180. Nina hamu kubwa ya...

PATA USHAURI WA DKT FLO: Mzio wa chakula huletwa na nini?

Mpendwa Daktari, Mwanangu mwenye umri wa miaka 15 amekuwa na mzio wa maziwa tangu utotoni. Nilidhani tatizo hili lingeisha anavyokua,...

PATA USHAURI WA DKT FLO: Nakumbwa na hofu kuu ya kujifungua

Mpendwa Daktari, Nina mimba ya miezi sita, na katika kipindi cha hivi majuzi nimekuwa nikikumbwa na hofu kuu kila ninapowazia...

PATA USHAURI WA DKT FLO: Vidonda vya mafua huletwa na nini?

Mpendwa Daktari, Nitakabiliana vipi na vidonda vinavyotokana na mafua kila mara, na nini kinachovisababisha? Remmy,...