Odera akanusha anataka kutoroka Simbas kujiunga na Shujaa

Na GEOFFREY ANENE KOCHA wa timu ya Kenya ya raga ya wachezaji 15 kila upande Paul Odera amepuuzilia mbali madai kuwa anamezea mate...

Wambua, Odera mstari wa mbele kupokezwa mikoba Shujaa

Na CHRIS ADUNGO KEVIN Wambua na Paul Odera ni miongoni mwa wakufunzi wanaopigiwa upatu wa kupokezwa mikoba ya timu ya taifa ya raga ya...

Simbas kutumia kipute cha raga ya Afrika kufuzu kwa fainali za Kombe la Dunia

Na CHRIS ADUNGO KIPUTE cha kuwania Raga ya Kombe la Afrika mnamo 2022 sasa kitatumiwa na Kenya Simbas kufuzu kwa fainali za Kombe la...

Lazima tujipange kabla ya mechi za marudiano – Odera

Na GEOFFREY ANENE KOCHA Paul Odera amekiri kuna kazi kubwa ya kufanywa kabla ya Simbas kualika Zambia (Agosti 24) na mabingwa watetezi...

Paul Odera ndiye kocha mpya wa Kenya Simbas

Na GEOFFREY ANENE SHIRIKISHO la Raga la Kenya (KRU) limefagia benchi lote la kiufundi la timu ya taifa ya Kenya Simbas na kujaza nafasi...