Mshindi wa EPL msimu huu huenda akapatikana katika wiki ya mwisho – Pep Guardiola

Na MASHIRIKA KOCHA Pep Guardiola amesema huenda mshindi wa Ligi Kuu ya Uingereza (EPL) msimu huu akapatikana katika wiki ya...

Guardiola kuagana na Man-City 2023 akimezea ukocha wa timu ya taifa

Na MASHIRIKA KOCHA Pep Guardiola aliyetia saini mkataba mpya ugani Etihad mnamo Novemba 2020, ametangaza kwamba ataagana rasmi na...

Man-City kuanza kutetea ubingwa wa EPL kwa kibarua kizito katika mechi saba za kwanza za msimu mpya wa 2021-22

Na MASHIRIKA MABINGWA watetezi Manchester City watafungua kampeni za Ligi Kuu ya Uingereza (EPL) mnamo 2021-22 kwa kumenyana na...

Guardiola ataka Manchester City kujinyanyua upesi na kulenga fainali ya UEFA baada ya Brighton kuwapiga 3-2 kwenye EPL

Na MASHIRIKA KOCHA Pep Guardiola amewataka wanasoka wake kuweka maruerue ya kuchapwa na Brighton ligini mnamo Jumanne usiku na...

Miaka yangu mitano kambini mwa Man-City sasa inaleta mantiki na maana zaidi – Pep Guardiola

Na MASHIRIKA KOCHA Pep Guardiola wa Manchester City amesema kwamba kuongoza kikosi hicho kuingia fainali ya Klabu Bingwa Ulaya (UEFA)...

Pep aridhishwa na rekodi ya Man-City kwenye vita vya kutetea ufalme wa mataji ya EPL

Na MASHIRIKA KOCHA Pep Guardiola wa Manchester City amewasifu wanasoka wake kwa kuweka rekodi ya kukamilisha kampeni za Ligi Kuu ya...

Pep ataka Manchester City wawe katili zaidi licha ya kuwafagia M’glabach 2-0 kwenye mkondo wa kwanza wa 16-bora UEFA

Na MASHIRIKA KOCHA Pep Guardiola wa Manchester City amewataka masogora wake kuwa katili zaidi mbele ya malango ya wapinzani licha ya...

Manchester City wakomoa Spurs na kuendeleza ubabe wao katika EPL

Na MASHIRIKA MANCHESTER City waliendeleza ubabe wao katika Ligi Kuu ya Uingereza (EPL) mnamo Jumamosi kwa kuwapiga Tottenham Hotspur 3-0...

Manchester City waponda Liverpool na kujiweka pazuri kutwaa taji la EPL msimu huu

Na MASHIRIKA MANCHESTER City walipiga hatua kubwa katika kuweka wazi maazimio yao ya kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu ya Uingereza (EPL) msimu...

Guardiola kuwa kocha kwa muda mrefu zaidi kuliko jinsi alivyotarajia hapo awali

Na MASHIRIKA KOCHA Pep Guardiola wa Manchester City amesema huenda akasalia katika ulingo wa ukufunzi wa soka kwa muda mrefu zaidi...

COVID-19: Manchester City kukosa masogora watano wa haiba kubwa dhidi ya Chelsea katika EPL

Na MASHIRIKA MANCHESTER City watakosa huduma za wanasoka watano tegemeo watakapowaendea Chelsea kwa minajili ya mchuano wa Ligi Kuu ya...