Serikali kuunda idara ya kufuatilia matumizi ya pesa

Na BRIAN OJAMAA SERIKALI inanuia kuunda idara ya manunuzi katika ngazi ya kitaifa itakayohakikisha kuwa Sh500 milioni iliyotolewa kwa...

Makundi 10 ya wafanyabiashara Thika yapokea mkopo wa Sh1.4 milioni

Na LAWRENCE ONGARO VIKUNDI 10 vya wafanyabiashara vimenufaika na mkopo ya Sh1.4 milioni ili kujiendeleza zaidi. Fedha hizo zimetolewa...

Pasta atozwa Sh2,000 baada ya kufumaniwa na muumini

Na SHABAN MAKOKHA PASTA wa Kanisa la ADC eneo la Lugari, Kaunti ya Kakamega, ametozwa faini ya ng’ombe, kondoo na Sh2,000 baada ya...

Wahalifu watumia maombi kuwahadaa wakazi wa Thika

Na LAWRENCE ONGARO WASHUKIWA wanane wa ulaghai wanaojidai wana uwezo wa kuombea watu na 'kuongeza pesa' wamevamia mji wa Thika. Mnamo...

Karua ashangaa jinsi BBI itakavyosaidia kaunti kupata mgao zaidi wa fedha wakati ambapo taifa linadaiwa matrilioni ya pesa

Na SAMMY WAWERU AHADI serikali za kaunti zitapata mgao wa asilimia 35 ya makadirio ya bajeti kila mwaka ni hewa tu, kiongozi wa...

Askofu Pesa alia kupunjwa hela

CECIL ODONGO na RUSHDIE OUDIA KIONGOZI wa Kanisa la Holy Ghost Coptic, John Pesa amelalamika kwamba alichezewa shere wakati wa kupokea...

Kampuni ya Broadway yatoa msaada wa unga na pesa

Na LAWRENCE ONGARO KAMPUNI ya Broadway Group of Companies (Bakex Millers) imetoa mchango wa Sh12.5 milioni na mifuko kiasi cha beli...

Wakuu wa vyuo vya kiufundi waonywa dhidi ya kuongeza karo kila mara bila kuifahamisha TTI

Na BRENDA AWUOR WAKUU wa vyuo vya kiufundi katika kaunti za Kisumu, Siaya, Migori, Busia, Homa Bay, Kisii, Nyamira, Bungoma, na Kakamega...

Mwanamke anaswa akiuza mtoto Sh30,000

Na STANLEY NGOTHO MWANAMKE katika eneo la Mlolongo, kaunti ya Machakos alikamatwa wikendi pamoja na wenzake wawili alipojaribu kumuuza...

Magavana wataka Wizara ya Fedha ifuate maagizo

Na NDUNGU GACHANE BARAZA la Magavana (COG) sasa linataka Wizara ya Fedha kuheshimu uamuzi wa Mahakama na kutuma mgao wa pesa kwa...

Chunga usiliwe pesa bure, wazee wamuonya Ruto

Na ERIC MATARA BARAZA la wazee eneo la Rift Valley, limemuonya Naibu Rais William Ruto kuwa macho asipotoshwe na matapeli wa kisiasa...

Ashtakiwa kutumia kisingizio cha msiba kuomba mbunge pesa

Na RICHARD MUNGUTI MKAZI wa Kaunti ya Kakamega, Erastus Matende Omwoma ameshtakiwa kwa kumlaghai Mbunge wa Lurambi Titus Khamula...