Man-City yakung’uta Brighton na kupaa hadi nafasi ya pili kwenye jedwali la EPL

Na MASHIRIKA PHIL Foden alipachika wavuni mabao mawili katika mchuano wa Ligi Kuu ya Uingereza (EPL) ulioshuhudia waajiri wake...

Phil Foden kukosa mechi tatu za kwanza za Manchester City kwa sababu ya jeraha

Na MASHIRIKA KIUNGO Phil Foden atakosa mechi kadhaa za kwanza za Manchester City katika msimu mpya wa 2021-22 kutokana na jeraha la mguu...

Phil Foden wa Man-City ndiye mwanasoka mwenye thamani ya juu zaidi barani Ulaya

Na MASHIRIKA WANASOKA watatu raia wa Uingereza – Phil Foden, Marcus Rashford na Mson Greenwood ndio wachezaji wenye thamani kubwa...

Phil Foden kuwania mataji mawili kwenye tuzo za PFA ambazo zimetamalakiwa na wanasoka wa Manchester City

Na MASHIRIKA KIUNGO matata wa Manchester City, Phil Foden, ameteuliwa kuwania taji la Mchezaji Bora wa Mwaka na lile la Chipukizi Bora...

Man-City sasa wanahitaji alama nane pekee kutokana na mechi tano zilizosalia ili kutwaa ufalme wa EPL msimu huu

Na MASHIRIKA MANCHESTER City waliwapepeta Aston Villa 2-1 ugenini mnamo Jumatano na kuweka mkono mmoja kwenye taji la Ligi Kuu ya...

Manchester City wala sare ya 1-1 na West Ham katika EPL

Na MASHIRIKA MICHAIL Antonio alifunga bao na kuwasaidia West Ham kuondoka uwanjani London Stadium na alama moja muhimu kutokana na sare...

Manchester City waponda Burnley na kuchelewesha zaidi sherehe ya Liverpool

Na MASHIRIKA PHIL Foden na Riyad Mahrez walifunga mabao mawili kila mmoja na kuchangia ushindi mnono wa 5-0 uliosajiliwa na Manchester...