Barcelona wathibitisha kumsajili Aubameyang bila ada yoyote

Na MASHIRIKA BARCELONA wamethibitisha kumsajili fowadi Pierre-Emerick Aubameyang kutoka Arsenal bila ada yoyote. Nyota huyo raia wa...

Arsenal washauriwa kumuuza Aubameyang, kutafuta mvamizi mpya Januari 2022 na kumpa Tierney unahodha

Na MASHIRIKA KIUNGO wa zamani wa Arsenal, Emmanuel Frimpong ameshauri klabu hiyo kumtia mshambuliaji Pierre-Emerick Aubameyang mnadani...

Aubameyang apokonywa utepe wa unahodha kambini mwa Arsenal

Na MASHIRIKA FOWADI Pierre-Emerick Aubameyang amepokonywa utepe wa unahodha kambini mwa Arsenal kutokana na utovu wa...

Aubameyang afunga mabao matatu na kusaidia Arsenal kuponda West Brom kwenye Carabao Cup

Na MASHIRIKA PIERRE-Emerick Aubameyang alifunga mabao matatu na kusaidia waajiri wake Arsenal kupepeta West Bromwich Albion 6-0 katika...

Arsenal kutomkwamilia Aubameyang iwapo ataomba kuondoka ugani Emirates

Na MASHIRIKA ARSENAL wamefichua mpango wa kumtia mnadani fowadi na nahodha Pierre-Emerick Aubameyang, 32, na kwamba hawatamkwamilia...

Nilipoteza kilo nne nilipougua malaria baada ya kuchezea Gabon kwenye AFCON – Aubameyang

Na MASHIRIKA FOWADI na nahodha wa Arsenal, Pierre-Emerick Aubameyang, amesema kwamba alipunguza jumla ya kilo nne na akawa dhaifu zaidi...

Arsenal wacharaza Newcastle United 2-0 katika EPL

Na MASHIRIKA PIERRE-EMERICK Aubameyang alifunga bao katika mchuano wake wa kwanza tangu apone kutokana na malaria na kuongoza Arsenal...

Arsenal kukosa wanasoka wanne tegemeo wakati wa fainali za AFCON 2022

Na MASHIRIKA ARSENAL watakosa huduma za wanasoka wanne tegemeo kwa mwezi mzima wa Januari kati ya Februari 2022 wakati ambapo fainali za...

EPL: Arteta amtia nari Aubameyang afunge mabao dhidi ya Leicester City

Na MASHIRIKA KOCHA Mikel Arteta ameshikilia kwamba fowadi na nahodha Pierre-Emerick Aubameyang atapania kutumia mechi ya Ligi Kuu ya...

Ushindi wa Community Shield washawishi Aubameyang kusalia Arsenal

Na CHRIS ADUNGO KOCHA Mikel Arteta amesema ushindi wa 5-4 uliosajiliwa na Arsenal dhidi ya Liverpool kupitia penalti kwenye Community...

Aubameyang yuko karibu kutia saini mkataba mpya Arsenal

Na CHRIS ADUNGO KOCHA Mikel Arteta wa Arsenal ni mwingi wa matumaini kwamba nahodha Pierre-Emerick Aubameyang, 31, atatia saini mkataba...

Arteta imani tele Aubameyang atarefusha mkataba Arsenal

Na CHRIS ADUNGO KOCHA Mikel Arteta wa Arsenal amesema ana imani kubwa kwamba mashambuliaji na nahodha Pierre-Emerick Aubameyang atatia...