Wawili waponea kifo kwa pikipiki Mukuru Kayaba

Na SAMMY KIMATU NAIROBI WATU wawili waliponea kifo kwa tundu la sindano walipohusika kwenye ajali ya barabara katika mtaa mmoja wa...

Wahudumu wa afya wanunuliwa pikipiki kulinda wakazi dhidi ya corona

Na WACHIRA MWANGI KAUNTI ya Mombasa imenunua pikipiki mbili kwa kila kaunti ndogo, ili kuwawezesha wahudumu wa afya kuendesha juhudi za...

RIZIKI: Kutoka tarishi wa kutumia pikipiki hadi mmiliki wa tuktuk

Na SAMMY WAWERU MIAKA 12 iliyopita baada ya kufanya mtihani wa kitaifa kidato cha nne, KCSE, Timothy Makutwa alijisajili katika chuo...

Sonko akubaliwa kuwafurusha wanabodaboda kutoka katikati ya jiji

Na RICHARD MUNGUTI WAFANYABIASHARA wa bodaboda walipata pigo kuu Jumatatu baada ya Mahakama Kuu kutupilia kesi ya kupinga kumzuia Gavana...

Kizimbani kwa kuiba pikipiki

[caption id="attachment_3225" align="aligncenter" width="800"] Stephen Wambura Musa ashtakiwa kwa wizi wa pikipiki yenye thamani ya...

Kioja mwizi wa pikipiki kuirejesha huku akilia

Na CORNELIUS MUTISYA KAVIANI, MACHAKOS KIOJA kilishuhudiwa sokoni hapa, jamaa aliyeiba pikipiki alipoirejesha kwa mwenyewe huku...