Mshukiwa ambaye alichomoa pingu na kuhepa polisi asakwa

NA KALUME KAZUNGU KIOJA kilishuhudiwa kisiwani Lamu jana Jumatano pale mshukiwa alipochomoa mkono wake kutoka kwa pingu za polisi na...

Zaidi ya wafungwa 1,800 watoroka baada ya shambulio la gereza Nigeria

Na MASHIRIKA OWERRI, Nigeria ZAIDI wa wafungwa 1,800 walitoroka kutoka kwa gereza moja nchini kufuatia shambulio la watu wenye silaha...

Aliyenaswa kwa video akimtesa mshukiwa wa wizi Ajab Mills atiwa mbaroni

Na WACHIRA MWANGI POLISI katika Kaunti ya Mombasa wamemtia mbaroni mshukiwa aliyenaswa kwa video akimtesa mwanamume aliyeshukiwa kuiba...

Meneja akana kupanga njama ya kutafuna mamilioni ya Naivas

Na RICHARD MUNGUTI MENEJA wa Fedha alishtakiwa kwa kukula njama za kuifilisi duka la supa la Naivas zaidi ya Sh33.8 milioni. Dennis...

Polisi bandia akamatwa baada ya kumtia mbaroni mwanafunzi

Na BENSON MATHEKA POLISI jijini Nairobi wanafanya uchunguzi kubaini jinsi mwanamume alivyoingia katika chuo cha kitaifa cha kiufundi cha...

Polisi wanyakwa wakimeza hongo

Na MAUREEN ONGALA MAAFISA wawili wa polisi walitiwa mbaroni wikendi walipofumaniwa na Kamanda wa polisi eneo la Pwani, Bw Rashid Yaqub,...

Mwanamke kulipwa Sh61m kwa kulazimishwa kujifungua akiwa na pingu

MASHIRIKA Na PETER MBURU SERIKALI ya jimbo la New York, Amerika itamlipa mwanamke Sh61 milioni, baada ya kulazimishwa kujifungua akiwa...

Aliyenaswa na pingu akiwa mlevi asukumwa rumande

Na RICHARD MUNGUTI KIBARUA aliyejikanganya mbele ya mahakama aliposhtakiwa kupatikana na pingu kinyume cha sheria Jumatano alisukumwa...

Achanganyikiwa kortini kung’amua pingu alizokiri kuiba zimeibwa tena

Na RICHARD MUNGUTI KIBARUA aliyekamatwa akiwa na pingu katika soko la Kenyatta karibu na mtaa wa mabanda wa Kibera, Nairobi anakondolewa...