Athari za kutumia vyombo na bidhaa za plastiki

Na MARGARET MAINA mwmaina@ke.nationmedia.com PLASTIKI ina nafasi kubwa kwenye jamii ya sasa. Hutumika kwenye magari, vyombo vya...

Wanaharakati waitaka serikali kupiga marufuku matumizi yote ya plastiki

NA KALUME KAZUNGU WANAHARAKATI wa mazingira, Kaunti ya Lamu wanaishinikiza serikali kupiga marufuku matumizi ya vyombo vya plastiki...

Wachuuzi waendelea kukaidi marufuku ya plastiki

Na MISHI GONGO MAMLAKA ya Kitaifa ya Usimamizi wa Mazingira (Nema), imewaonya wafanyabiashara jijini Mombasa, ambao wamerejelea biashara...

Dow yashirikiana na ChildFund kuwapa watoto motisha kuhifadhi mazingira

Na MAGDALENE WANJA KATIKA juhudi za kuwaweka watoto katika hali ya wao kujenga mazoea ya kutunza mazingira, kampuni ya Dow Chemical...

Wauza bidhaa za plastiki mitandaoni kujiendeleza kielimu

Na MARGARET MAINA mwmaina@ke.nationmedia.com @maggiemainah Ukiwaona vijana wawili Bw Davis Oduor, 29 na Bi Mary Wanja, 21 wakipita...

Mifuko ya plastiki inavoingizwa nchini kisiri

Na GERALD BWISA MIFUKO ya plastiki iliyopigwa marufuku nchini bado inatumiwa kwa wingi katika Kaunti ya Trans Nzoia huku wakazi...

‘Mikebe ya plastiki badala ya kutupwa ovyo yaweza kutumika tena’

Na SAMMY WAWERU KADRI miaka inavyozidi kusonga ndivyo idadi ya watu inaendelea kuongezeka nchini. Miaka 30 iliyopita ikilinganishwa...

ATHARI ZA PLASTIKI: Walaji samaki wa baharini wanajaza plastiki mwilini

Na LEONARD ONYANGO UMEJITULIZA katika ufukwe wa bahari Hindi katika maeneo ya Mombasa, Kilifi au Lamu unakula samaki wa baharini huku...

Uhuru atangaza marufuku ya chupa za plastiki nchini

Na CHARLES WASONGA RAIS Uhuru Kenyatta Jumatano alitangaza marufuku ya matumizi ya chupa za plastiki nchini miaka miwili baada ya...

Mfumo wa kutumia gilasi za plastiki kupanda miche, je, zipo athari kimazingira?

Na SAMMY WAWERU MICHE ni mimea michanga inayoandaliwa katika sehemu maalum kabla kuhamishiwa shambani. Kupitia matunzo bora...

Hoteli za kifahari Pwani zapiga marufuku chupa za plastiki

Na WINNIE ATIENO HOTELI za kifahari katika ufuo wa Pwani zimepiga marufuku utumizi wa mirija na chupa za maji za plastiki kutumika...

Marufuku ya mifuko ya plastiki yaimarisha usafi wa fuo za Lamu

NA KALUME KAZUNGU MARUFUKU ya matumizi ya mifuko ya plastiki ambayo imedumu nchini kwa zaidi ya mwaka mmoja sasa imetajwa kupelekea...