Urembo wa punda ni kitega uchumi Lamu

NA KALUME KAZUNGU KATIKA miji mingi mikubwa nchini, wafanyabiashara wa uchukuzi wa umma hurembesha sana vyombo vyao vya...

AKILIMALI: Punda ni ofisi yake; anawauza kwa wanaosaka mbinu ya usafiri

Na RICHARD MAOSI TAKWIMU zinaonyesha kuwa punda hutumika kubeba mizigo mizito mashinani, hususan katika maeneo ambayo miundo misingi ya...

Wakazi wa Nyandarua waadhimisha Siku ya Punda Nchini

Na RICHARD MAOSI WAKAZI wa eneo la Kwa Njaga, Kaunti ya Nyandarua, Jumatatu waliungana na wenzao kutoka Kisumu, Kajiado, Kitui na Nakuru...

Waomba serikali isiruhusu uuzaji wa nyama ya punda

NA VITALIS KIMUTAI Na JACOB WALTER Wamiliki wa punda eneo la Kusini mwa Bonde la Ufa wameomba serikali isiondoe marufuku ya kuchinja na...

Bodaboda wapiga teke punda Lamu

Na KALUME KAZUNGU WAMILIKI punda katika Kaunti ya Lamu wanazidi kujawa na wasiwasi kuhusu hatima ya biashara yao ya uchukuzi, baada ya...

Alazimika kutoa punda kama mahari

Na John Musyoki SIAKAGO, Embu JAMAA mmoja alilazimika kuwapa wakwe zake punda wawili ili kupunguza deni la kulipa...

Punda aundiwa miwani baada ya kuumia jicho

MASHIRIKA Na PETER MBURU PUNDA ambaye alipofuka baada ya kujeruhiwa vibaya katika ajali nchini Uingereza amenunuliwa miwani spesheli,...

Raha kwa wenye mikokoteni na punda bodaboda kupigwa marufuku

NA KALUME KAZUNGU WAENDESHAJI mikokoteni na wamiliki wa punda kwenye miji ya kale ya Lamu na Shella wamepata afueni kufuatia hatua ya hivi...