Sterling kirasmi aingia Chelsea

NA MASHIRIKA LONDON, Uingereza MSHAMBULIAJI wa kimataifa, Raheem Sterling, 27, amejiunga na Chelsea kwa mkataba wa miaka mitano...

Uingereza kigezoni wakijiandaa kuvaana na Ukraine kwenye robo-fainali za Euro

Na MASHIRIKA UINGEREZA watajaribu leo kufuzu kwa nusu-fainali za Euro kwa upande wa wanaume kwa mara ya kwanza baada ya miaka 25...

Uingereza pazuri kutinga fainali ya Euro baada ya kudengua Ujerumani

Na MASHIRIKA UINGEREZA walifunga katika dakika za mwisho na kusajili ushindi wa 2-0 uliowasaidia kubandua Ujerumani kwenye hatua ya...

Manchester City kusubiri zaidi kutwaa taji la EPL baada ya kupigwa 2-1 na Chelsea

Na MASHIRIKA SERGIO Aguero alipoteza penalti katika mchuano wa Ligi Kuu ya Uingereza (EPL) ulioshuhudia Chelsea wakiwapokeza kichapo cha...

Manchester City wazamisha chombo cha Arsenal na kuanza kunusia taji la EPL

Na MASHIRIKA KOCHA Pep Guardiola amesema anashangazwa na ubora wa fomu ya kikosi chake cha Manchester City wakati ambapo wapinzani wao...

Man-City yaweka hai matumaini ya kutwaa mataji manne baada ya kubomoa Swansea City na kutinga robo-fainali za Kombe la FA

Na MASHIRIKA KOCHA Pep Guardiola alikuwa mwingi wa sifa kwa wachezaji wake wa Manchester baada ya kuwacharaza Swansea City 3-1 kwenye...

Manchester City waponda West Brom na kutua kileleni mwa jedwali la EPL

Na MASHIRIKA MANCHESTER City walipaa hadi kileleni mwa jedwali la Ligi Kuu ya Uingereza (EPL) kwa alama 41 baada ya kuwaponda West...