Waislamu walalamikia gharama ya juu ya maisha mwezi mtukufu wa Ramadhani ukiwadia

Na KALUME KAZUNGU WAUMINI wa dini ya Kiislamu, Kaunti ya Lamu wamelalamikia hali ngumu ya kiuchumi, ikiwemo ongezeko la bei za vyakula...

Himizo Waislamu watii masharti hata wakati wa sherehe za Eid al-Fitr

Na MISHI GONGO VIONGOZI wa dini ya Kiislamu wamewashauri waumini wazingatie sheria na kanuni zilizowekwa kudhibiti virusi vya corona...

COVID-19: Mara hii hakuna mikusanyiko sherehe za Eid al-Fitr

Na MISHI GONGO BAADA ya mfungo wa mwezi mtukufu wa Ramadhan waumini wa dini ya Kiislamu hufanikisha kukamilika kwa mwezi huo kwa...

Kafyu yapunguzia Waislamu ada na shughuli zilizozoeleka Ramadhan

Na MISHI GONGO NI Ramadhan ya kwanza kushuhudiwa ambapo waumini wa dini ya Kiislamu hawateweza kutekeleza ada za mwezi huo kama...

Ramadhani yaanza bila sherehe za kawaida

Na MOHAMED AHMED WAUMINI wa dini ya Kiislamu kote nchini, wanatarajia kuanza mfungo wa mwezi wa Ramadhani leo Jumamosi bila shamrashamra...

NASAHA: Ramadhani ni fursa ya kuzitakasa nafsi zetu na kuacha maasi

NA KHAMIS MOHAMED KWA majaaliwa ya Mwenyezi Mungu, tumeingia siku ya 16. Palipo na uzima ni wiki mbili tu zimesalia mwezi huu mtukufu...

Ramadhani yamgeuza Joho kuwa mhubiri

WINNIE ATIENO na MOHAMED AHMED GAVANA wa Mombasa Hassan Joho amejulikana kwa ujasiri wake wa kisiasa na kupambana na yoyote yule ambaye...

NASAHA ZA RAMADHAN: Chakula cha daku humpa nguvu mfungaji na humchangamsha

Na KHAMIS MOHAMED WENGI wetu tunaofunga tunaona kula daku ni jambo dogo tu ilhali ni jambo lililokokotezwa sana na Uislamu kama...

RAMADHANI: Ni lazima maskini pia wapewe cha kusherehekea Idd

Na KHAMIS MOHAMED ALHAMISI majaaliwa Waislamu kote ulimwenguni wataelekeza macho mbinguni ili kuutafuta mwezi wa kukamilika kwa...

RAMADHANI: Biashara yanoga Mwezi Mtukufu ukifika ukingoni

NA KALUME KAZUNGU WANABIASHARA katika kisiwa cha Lamu wanavuna pakubwa msimu huu ambapo Mwezi Mtukufu wa Ramadhani unatarajiwa...

RAMADHANI: Chunguza saum yako ukiwa katika ndoa ya aina hii

Na SHEIKH MOHAMED KHALIFA BAADA ya kumhimidi Mwenyezi Mungu na kumtakia rehema mtume Muhamad (S.A.W), kama tulivyoahidi jana,...

RAMADHANI: Dua ya mwenye kufunga hairudi, tujitahidi!

Na KHAMIS MOHAMED DUA ni jambo la lazima kwa kila Muislamu, haswa pindi anapokumbwa na mtihani mzito. Katika Mwezi huu wa Ramadhani,...