Ramos aonyeshwa kadi nyekundu PSG wakikabwa koo na Lorient ligini

Na MASHIRIKA MAURO Icardi aliwaokolea waajiri wake Paris Saint-Germain (PSG) alama moja muhimu dhidi ya Lorient katika mechi ya Ligi Kuu...

PSG mbioni kumsajili Sergio Ramos

MASHIRIKA NA JOHN ASHIHUNDU PARIS, Ufaransa Klabu tajiri ya PSG ya ligi kuu ya Ufaransa imo mbioni kumsajili Sergio Ramos kutoka...

Ramos akiri kuteswa na penzi la kale, sasa halali

Na CHRIS ADUNGO LICHA ya kuwa Sergio Ramos amefunga pingu za maisha na kichuna Pillar Rubio ambaye amemzalia watoto watatu, nahodha huyo...

Wakili wa Misri ataka Ramos atozwe fidia ya Sh120 bilioni kwa kumtendea Salah unyama

Na CHRIS ADUNGO WAKILI mmoja nchini Misri sasa amewasilisha kesi kortini akitaka fidia ya Sh120 bilioni dhidi ya difenda wa Real Madrid...

Salah kuongoza mashambulizi ya Misri Kombe la Dunia licha ya kujeruhiwa na Ramos

Na MASHIRIKA STRAIKA matata wa Liverpool na Misri Mohamed Salah jana aliwaondolea mashabiki wake hofu kuwa huenda jeraha alilopata katika...

Mashabiki 200,000 watia saini Sergio Ramos aadhibiwe kwa kumuumiza Salah

Na MASHIRIKA DIFENDA wa Real Madrid Sergio Ramos amejipata matatani baada ya mashabiki kote ulimwenguni kuanzisha kampeni ya kutaka...