Real Madrid wacharaza Sociedad na kufungua pengo la alama nane kileleni mwa jedwali la La Liga

Na MASHIRIKA REAL Madrid walifungua mwanya wa alama nane kileleni mwa jedwali la Ligi Kuu ya Uhispania (La Liga) baada ya kuwatandika Real...

Benzema afunga mabao mawili na kusaidia Real kukung’uta Shakhtar Donetsk kwenye UEFA

Na MASHIRIKA KARIM Benzema alifunga mabao mawili katika ushindi wa 2-1 uliosajiliwa na waajiri wake Real Madrid dhidi ya Shakhtar...

Gareth Bale afunga bao lake la kwanza la La Liga tangu Septemba 2019

Na MASHIRIKA REAL Madrid na Levante walitoshana nguvu katika mechi ya Ligi Kuu ya Uhispania (La Liga) iliyokamilika kwa mabao 3-3 mnamo...

Real Madrid na AC Milan nguvu sawa huku Bale akipoteza penalti

Na MASHIRIKA GARETH Bale alikuwa sehemu sehemu ya kikosi kilichowajibishwa na kocha Carlo Ancelotti wa Real Madrid dhidi ya AC Milan mnamo...

Liverpool ni muujiza tu sasa UEFA ila Zidane asema kazi ingalipo

Na MASHIRIKA MADRID, Uhispania KOCHA Jurgen Klopp amesema vijana wake wa Liverpool waliwapa “kazi rahisi” Real Madrid katika...

Liverpool kucheza dhidi ya Real Madrid leo usiku

Na MASHIRIKA KIVUMBI kinatarajiwa leo usiku miamba wa zamani Real Madrid na Liverpool watakapokabana koo kwenye mkondo wa kwanza wa...

Real Madrid yavuna ushindi mwembamba dhidi ya Atalanta kwenye UEFA ugenini

Na MASHIRIKA FERLAND Mendy alifunga bao la dakika za mwisho na kusaidia Real Madrid kusajili ushindi mwembamba wa 1-0 dhidi ya Atalanta...

Varane asaidia Real Madrid kuzamisha Huesca ligini na kupunguzia Zidane presha ya kupigwa kalamu

Na MASHIRIKA BEKI Raphael Varane alifunga mabao mawili na kusaidia Real Madrid kutoka nyuma na kuchabanga Huesca 2-1 kwenye Ligi Kuu ya...

Real kumwajiri Allegri iwapo Zidane ataondoka

Na MASHIRIKA REAL Madrid watakuwa radhi kumpokeza kocha Massimiliamo Allegri au aliyekuwa jagina wao Raul Gonzalez mikoba ya ukufunzi...

Levante waduwaza Real Madrid kwa kuichapa 2-1 kwenye mechi ya La Liga

Na MASHIRIKA MABINGWA watetezi wa Ligi Kuu ya Uhispania (La Liga), Real Madrid, waliduwazwa na Levante mnamo Jumamosi kwa kichapo cha...

Benzema afunga mabao mawili na kupaisha Real Madrid hadi nafasi ya pili kwenye La Liga

Na MASHIRIKA KARIM Benzema alifunga mabao mawili na kusaidia Real Madrid kuweka kando maruerue ya kubanduliwa mapema kwenye Spanish Cup...

Real Madrid wacharaza Eibar na kufikia Atletico Madrid kileleni mwa jedwali la La Liga

Na MASHIRIKA REAL Madrid walipepeta Eibar 3-1 na kuendeleza presha kwa viongozi wa Ligi Kuu ya Uhispania (La Liga), Atletico...