Kuongezwa kwa riba kulivyoimarisha thamani ya shilingi ya Kenya

Na CHARLES WASONGA KUONDOLEWA wa sheria ya udhibiti wa riba inayotozwa na benki kwa mikopo ni mojawapo ya sababu zilizochangia kuimarika...

Kamati maalum ikague riba ya mikopo – Kuria

Na DAVID MWERE MBUNGE wa Gatundu Kusini Moses Kuria amependekeza kubuniwa kwa kamati maalum ya bunge ya kukagua usimamizi wa uchumi...

Ni rasmi kwamba riba za benki zitakuwa juu sasa

Na CHARLES WASONGA NI rasmi sasa kwamba mikopo ya benki itakuwa ghali mno kwani benki zitakuwa huru kutoza viwango vya riba...

RIBA: Wabunge wengi wasusia kikao cha asubuhi

Na CHARLES WASONGA BUNGE Jumatano limeahirisha kikao cha asubuhi mapema baada ya wabunge wengi kukosa kufika ukumbini katika kile...

Benki kutoza riba za juu

Na CHARLES WASONGA WAKENYA wamejipata katika hali ya zamani ambapo benki za kibiashara zilikuwa zikiwatoza riba ya hadi asilimia 30 kwa...

Benki Kuu yadinda kupandisha kiwango cha riba

Na BERNARDINE MUTANU Wakenya wamepata afueni baada ya Benki Kuu ya Kenya (CBK) kukataa kupandisha kiwango cha mwisho cha riba kwa benki...

Benki ya Co-op yazoa faida zaidi kutokana na riba

Na BERNARDINE MUTANU Benki ya Co-operative imetangaza ongezeko la asilimia 7.57 ya faida yake katika miezi sita ya mwanzo 2018. Kukua kwa...