Mwanajeshi na polisi waliofyatuliana risasi kimakosa wafariki

Na FARHIYA HUSSEIN MWANAJESHI na polisi waliopata majeraha kwa kufyatuliana risasi kimakosa wamefariki kutokana na majeraha waliyopata...

Wanajeshi wawili na polisi wauguza majeraha baada ya kushambuliana kimakosa

Na FARHIYA HUSSEIN WANAJESHI wawili kutoka kikosi cha Kenya (KDF) na polisi mmoja wanaendelea kuuguza majeraha waliyopata baada ya...

Polisi wafyatuliana risasi na washukiwa wa al-Shabaab Garissa

Na FARHIYA HUSSEIN POLISI na wanaoshukiwa kuwa wapiganaji wa al-Shabaab walifyatuliana risasi Kaunti ya Garissa baada ya gari la maafisa...

EACC yatofautiana na polisi kuhusu ufyatulianaji risasi na hongo

NA JUSTUS OCHIENG' TUME ya Maadili ya Kupambana na Ufisadi(EACC) na polisi wametofautiana vikali kuhusu kisa cha kupigwa risasi wa...

Chokoraa aliyepigwa risasi na polisi alilia haki

  Bw Kaka Karanja anasema juhudi zake za kupata msaada kutoka kwa polisi zimegonga mwamba.Alisema alikuwa akitembea barabarani...

Apigwa risasi akiingia Ikulu ‘kumuua’ Uhuru

Na VALENTINE OBARA MWANAFUNZI wa Chuo Kikuu cha Jomo Kenyatta (JKUAT) anauguza majeraha ya risasi aliyopigwa alipojaribu kuvamia Ikulu...

Taharuki KDF kuua watu 3 kwa risasi kabla ya kujiangamiza

TITUS OMINDE na WYCLIFFE KIPSANG MWANAJESHI aliyekuwa akifanya kazi katika kambi ya KDF ya Lanet, Nakuru Jumanne aliwaua watu watatu na...

Ajipiga risasi akijaribu kuua kombamwiko

MASHIRIKA Na PETER MBURU MWANAMUME kutoka Michigan, Marekani alijipiga risasi mguuni wakati alipokuwa akitupa kiatu baada ya kugundua...

Mwanamke ampiga risasi mpenzi wake kwa kukoroma usingizini

MASHIRIKA Na PETER MBURU MWANAMKE kutoka Florida, Marekani amefunguliwa mashtaka ya kujaribu kuua, baada ya kumpiga mpenzi wake risasi,...

Polisi waua washukiwa 2 waliokuwa wakiuza risasi

NA OSCAR KAKAI Washukiwa wawili Jumamosi waliuawa kwa kupigwa risasi na maafisa wa polisi eneo la Kitalakapel kwenye barabara ya...

Polisi asukumwa jela kwa kumpiga risasi na kumuua mvulana Mwafrika

MASHIRIKA Na PETER MBURU CHICAGO, MAREKANI MAHAKAMA moja ya Texas Jumanne ilimpata afisa mzungu na makosa ya mauaji ya mvulana mweusi wa...

Jambazi ataka fidia ya Sh270 milioni kwa kupigwa risasi akiiba

Na MASHIRIKA BROOKLYN, AMERIKA JAMBAZI aliyepigwa risasi na mwenye duka alipopatikana peupe akipora duka la mvinyo, anataka alipwe ridhaa...