SOKA: RSM yatafuta chipukizi wenye vipaji na kufanikisha majaribio na klabu mbalimbali za barani Ulaya

Na ABDULRAHMAN SHERIFF KAMPUNI ya Regional Sports Management (RSM) iliyoko Abu Dhabi huko Arabuni imepania kuhakikisha wachezaji...