Maswali Ruto akifokea Museveni

Na WANDERI KAMAU URAFIKI baina ya Naibu wa Rais William Ruto na Rais Yoweri Museveni unaonekana kuingia doa baada ya kumfokea hadharani...

Ruto kutua Kisii kuzima ushawishi wa Matiang’i

Na Ruth Mbula NAIBU Rais William Ruto amepangiwa kuzuru Kisii kwa siku tatu katika juhudi za kuzima umaarufu wa Waziri wa Usalama wa...

Ruto ainua mikono, asema yuko tayari kuridhiana na Uhuru bila masharti

Na CHARLES WASONGA NAIBU Rais William Ruto amesema kuwa yuko tayari kufanya mazungumzo na Rais Uhuru Kenyatta kwa lengo la kuridhiniana...

Joho na Mucheru waonya wakazi dhidi ya Ruto

Na Winnie Atieno WAZIRI wa Habari, Teknolojia na Mawasiliano (ICT) Joe Mucheru na Gavana Hassan Joho walimsuta na kumshambulia Naibu wa...

Wilbaro, Chungwa vyazua mabishano

Na JUSTUS OCHIENG Naibu Rais William Ruto na Kiongozi wa ODM Raila Odinga sasa wanalaumiana kuhusu alama na kauli mbiu za vyama vyao...

Ruto kukabiliwa na mtihani mkali 2022 akiepuka miungano

Na WANDERI KAMAU HATUA ya Naibu Rais William Ruto kusema kwamba hatajiunga na muungano ya kisiasa kabla ya uchaguzi mkuu wa 2022,...

Ruto abuni mkakati wa kuangusha Raila Mlima Kenya

Na JAMES MURIMI WASHIRIKA wa Naibu Rais William Ruto katika eneo la Mlima Kenya, wameamua kuingia vijijini kumpigia debe ili kuimarisha...

Sheria njiani kupunguza walinzi wa DP hadi 30

Na IBRAHIM ORUKO WIZARA ya Usalama wa ndani, inapendekeza maafisa wa usalama wa kumlinda naibu rais wasiwe zaidi ya 30. Haya yanajiri...

Yaibuka Ruto aligawia Jumwa GSU wawili ilhali ana kesi

Na IBRAHIM ORUKO NAIBU Rais William Ruto, amesemekana alimpa Mbunge wa Malindi, Bi Aisha Jumwa, maafisa wawili wa polisi wenye taaluma...

Ninauza mayai ya Sh1.5m kila siku – Ruto

Na CHARLES WASONGA NAIBU Rais William Ruto amefichua kuwa yeye huingiza Sh1.5 milioni kila siku kutokana na mauzo ya mayai 150, 000...

HASLA BANDIA

Na CHARLES WASONGA HATUA ya Wabunge kuagiza Waziri wa Usalama, Fred Matiang’i na maafisa wakuu katika idara ya polisi kufika mbele yao...

Ruto asema kamwe hatajiuzulu

Na MERCY KOSKEI NAIBU Rais Dkt William Ruto kwa mara nyingine amekariri kuwa hatajiuzulu kutoka kwa wadhifa wake licha ya kuhangaishwa...