Rwanda kufungua mpaka na Uganda

NA MASHIRIKA KIGALI, RWANDA SERIKALI ya Rwanda imesema itafungua tena mpaka wake na Uganda mwezi huu huku ikijitahidi kuzima taharuki...

Ni aibu Magoha kupotosha kuwa ni rahisi kustawisha nchi ‘ndogo’ kuliko nchi ‘kubwa’

Na SAMMY WAWERU RWANDA ni nchi ndogo na iliyopata uhuru wa kujitawala kutoka kwa serikali ya Mbeberu mwaka wa 1961. Taifa hilo...

Afisa wa zamani achunguzwa kwa mauaji ya halaiki Rwanda

Na MASHIRIKA PARIS, Ufaransa UFARANSA imeanza kumchunguza afisa mmoja wa zamani wa kijeshi wa Rwanda dhidi ya tuhuma kwamba...

Museveni na Kagame waridhiana

Na AFP MARAIS wa Rwanda na Uganda wametia saini makubaliano ya kusitisha uhasama kati ya mataifa hayo ambao umekithiri kwa miezi...

Mpaka kati ya Rwanda na Uganda wafunguliwa

Na AFP SERIKALI ya Rwanda hatimaye imefungua mpaka wake na Uganda katika eneo la Gatuna ili kuruhusu magari yanayobeba bidhaa kupita na...

Warwanda wawili wakamatwa UG wakiendesha ujasusi

Na DAILY MONITOR MAAFISA wa usalama wa Uganda wamekamata wanajeshi wawili wa Rwanda kwa madai ya kuingia nchini humo kukusanya taarifa...

Hasara baada ya Rwanda kufunga mpaka wake na UG

Na MASHIRIKA SERIKALI za Uganda na Rwanda ziliendelea kulaumiana kuhusu mzozo uliosababisha mpaka wa nchi hizo mbili...

Rwanda taabani kwa kuita waziri wa Afrika Kusini ‘malaya’

NA MASHIRIKA RWANDA imejipata matatani baada ya mtandao unaoounga mkono serikali kumrejelea waziri mmoja wa wa Afrika Kusini kama...

Raia wa Rwanda apatikana na hatia ya kumuua mwanamke mjamzito lojing’i

Na RICHARD MUNGUTI MAHAKAMA Kuu Alhamisi ilimpata raia wa Rwanda na hatia ya kumuua mwanamke mjamzito. Jaji Jessie Lesiit alimpata na...

Minnaert afurushwa Rwanda kwa matokeo ya aibu

Na CECIL ODONGO ALIYEKUWA kocha AFC leopards Ivan Minnaert ametimuliwa na waajiri wake Klabu ya Rayon Sports ya Rwanda kufuatia misururu...

KCB washindwa kutwaa ubingwa wa voliboli Rwanda

Na GEOFFREY ANENE MABINGWA wa Afrika mwaka 2006, KCB walikamilisha Voliboli ya Rwanda Genocide Memorial katika nafasi ya pili baada ya...

Rwanda kutua nchini kwa mchuano wa Kombe la Afrika U-20

Na GEOFFREY ANENE TIMU ya taifa ya soka ya Rwanda ya wachezaji wasiozidi umri wa miaka 20 itawasili Kenya Ijumaa kwa mchuano wa kufuzu...