Gavana Sakaja aanza mbio kutekeleza agizo la mke wa Rais

Na SAMMY KIMATU BAADA ya mkewe Rais, Bi Rachel Ruto kuagiza gavana wa Nairobi Bw Johnson Sakaja kujengea wakazi wa maeneo ya Mukuru...

Mizozo ya uwaniaji vyeo yatishia umoja wa ‘Kenya Kwanza’

Na LEONARD ONYANGO MVUTANO wa ugavana ndani ya muungano wa ‘Kenya Kwanza’ ulidhihirika Jumanne baada ya Seneta wa Nairobi, Johnson...

Sakaja atozwa faini ya Sh15,000

Na JOSEPH WANGUI SENETA wa Nairobi, Bw Johnson Sakaja jana alitozwa faini ya Sh15,000 baada ya kukiri mashtaka ya kukiuka amri ya...

Vijana wachoma picha

VALENTINE OBARA na MARY WAMBUI MASAIBU yanayomkumba Seneta wa Nairobi, Bw Johnson Sakaja ambaye alikamatwa kwa kukiuka kanuni za...

Sakaja kuongoza kamati ya seneti kuhusu janga la corona

  Na CHARLES WASONGA SENETA wa Nairobi Johnson Sakaja ameteuliwa mwenyekiti wa kamati ya muda ya seneti itakayofuatilia...

Sakaja sasa amezea mate kiti cha Sonko

Na CHARLES WASONGA SENETA wa Nairobi Johnston Sakaja amefichua kuwa yu tayari kuwania wadhifa wa ugavana wa Nairobi endapo Gavana Mike...

Sakaja aelezea kutoridhishwa kwake na kuteuliwa kwa Mary Wambui

Na CHARLES WASONGA SENETA wa Nairobi Johnson Sakaja ni kiongozi wa hivi punde kuonekana kupinga uteuzi wa aliyekuwa mbunge wa Othaya...