Kinara wa zamani wa EACC akana kuhusika katika sakata ya Kemsa

CHARLES WASONGA na SAMUEL OWINO ALIYEKUWA Afisa Mkuu Mtendaji wa Tume ya Maadili na Kupambana na Ufisadi (EACC) Halakhe Waqo akana...

Mamaye Judy Wakhungu akamatwe – Mahakama

Na RICHARD MUNGUTI MAHAKAMA ya Kuamua Kesi za Ufisadi Jumanne imeamuru mama ya aliyekuwa Waziri wa Mazingira Judy Wakhungu anayeshtakiwa...

Orengo ataka Dkt Ruto atoe maelezo kuhusu sakata inayomkabili Echesa

Na CHARLES WASONGA SENETA wa Kaunti ya Siaya James Orengo amemtaka Naibu Rais William Ruto kutoa maelezo kuhusu anayoyafahamu kuhusiana...

Echesa kukaa rumande mpaka Jumatatu kwa sakata ya Sh40b

Na FRANCIS NDERITU ALIYEKUWA Waziri wa Michezo, Bw Rashid Echesa, Ijumaa alitupwa rumande na mahakama moja jijini Nairobi hadi Jumatatu...

Kashfa zatia doa uteuzi wa mawaziri

Na VALENTINE OBARA ONGEZEKO la mawaziri wanaoondoka mamlakani katika utawala wa Rais Uhuru Kenyatta, limeibua maswali kuhusu mambo...

Wetang’ula asema sakata ya dhahabu ni suala dogo kwake

Na LEONARD ONYANGO KIONGOZI wa Ford Kenya Moses Wetang’ula amekanusha madai kwamba amealikwa na Idara ya Upelelezi wa Jinai (DCI)...

WANDERI: Wakenya sasa wafaa kukasirika kwa maovu

Na WANDERI KAMAU SAKATA ya dhahabu ghushi ni kashfa ‘hewa’ ambayo itapotea na kusahaulika kabisa. Ni moto ambao utawaka na...

Ruto achunguzwe kuhusu sakata ya mahindi – Wabunge wa Rift Valley

Na STANLEY KIMUGE WABUNGE watatu wa Jubilee kutoka Bonde la Ufa sasa wanataka Naibu wa Rais William Ruto achunguzwe kuhusiana na sakata...

Sh2 bilioni za upanzi wa miti zatoweka

Na WANJOHI GITHAE WIZARA ya Mazingira inamulikwa kuhusiana na namna ilivyotumia Sh2 bilioni za kutumika katika upanzi wa miti shuleni,...

SAKATA YA NYS: Kesi yaanza rasmi

Na RICHARD MUNGUTI KESI ya kashfa ya Shirika la Huduma ya Vijana kwa Taifa (NYS) dhidi ya washtakiwa 37 iliyopelekea zaidi ya...

SAKATA YA MAHINDI: Serikali ilivyopoteza mabilioni

Na CHARLES WASONGA SERIKALI ilipoteza mapato ya kima cha Sh16.7 bilioni wakati Hazina ya Kitaifa iliporuhusu uagizaji mahindi kutoka nje...

Wahusika katika sakata ya nepi za watoto mashakani

NYABOGA KIAGE na STELLA CHERONO IDARA ya Mkurugenzi wa Uchunguzi wa uhalifu(DCI) imewaamrisha maafisa wa Shirika la kukadiria ubora wa...