AFCON: Atawika nani kati ya Olunga na Mo’ Salah?

Na CECIL ODONGO HUKU timu ya taifa Harambee Stars ikitarajiwa kumenyana na Misri katika mechi ya kufuzu Taifa Bingwa Afrika (AFCON)...

Salah avunja rekodi ya ufungaji wa Liverpool kwenye kipute cha UEFA

Na MASHIRIKA KOCHA Jurgen Klopp wa Liverpool amesema kwamba nyota Mohamed Salah ana idadi kubwa ya mabao yanayotosha kumsadikisha yeyote...

Eto’o amshauri Salah ajiunge na Barca

JOHN ASHIHUNDU PARIS, Ufaransa Mchezaji nyota, Mohamed Salah wa Liverpool ameshauriwa ajiunge na Barcelona. Ushauri huo umetolewa na...

Salah atatwaa Ballon d’Or iwapo atashinda Afcon – Mourinho

  NA CECIL ODONGO KOCHA wa zamani wa Manchester United Jose Mourinho ameonyesha imani yake kwamba Mohamed Salah huenda akashinda...

Real Madrid, Bayern na Man U sasa zamezea mate Salah

Na GEOFFREY ANENE MABINGWA mara sita wa Klabu Bingwa Ulaya, Liverpool wana kibarua kigumu kuendelea kumkwamilia mshambuliaji Mohamed...

Tukishinda mechi zilizosalia tutaibuka mabingwa EPL – Salah

NA CECIL ODONGO MSHAMBULIZI wa Liverpool Mohamed Salah amesema timu hiyo inahitaji ushindi katika mechi zake nne zilizosalia za Ligi Kuu...

Salah aibuka mchezaji bora wa EPL tena

NA CECIL ODONGO FOWADI matata wa Liverpool Mohamed Salah kwa mara nyingine tena ameibuka mchezaji bora wa Ligi Kuu ya Uingereza(EPL) wa...

Salah ahifadhi taji la mwanasoka bora Afrika

Na GEOFFREY ANENE STRAIKA wa Liverpool na Misri Mohamed Salah ametangazwa mshindi wa Mwanasoka Bora wa Bara Afrika mwaka 2018 Januari 8,...

Salah sasa ni mkali wao EPL baada ya Reds kuitafuna Bournemouth

NA GEOFFREY ANENE Mfungaji bora wa Ligi Kuu ya Uingereza msimu 2017-2018, Mohamed Salah amerukia juu ya jedwali la wafungaji wa mabao...

Salah, Mane, Koulibaly, Benatia na Partey kuwania Mwanasoka Bora wa BBC

Na CECIL ODONGO ORODHA ya wanasoka watakaowania tuzo ya Mwanasoka Bora wa BBC Barani Afrika mwaka wa 2018 imetangazwa. Wawaniaji...

Wakili wa Misri ataka Ramos atozwe fidia ya Sh120 bilioni kwa kumtendea Salah unyama

Na CHRIS ADUNGO WAKILI mmoja nchini Misri sasa amewasilisha kesi kortini akitaka fidia ya Sh120 bilioni dhidi ya difenda wa Real Madrid...

Salah kuongoza mashambulizi ya Misri Kombe la Dunia licha ya kujeruhiwa na Ramos

Na MASHIRIKA STRAIKA matata wa Liverpool na Misri Mohamed Salah jana aliwaondolea mashabiki wake hofu kuwa huenda jeraha alilopata katika...