Magavana wa Pwani wapata presha kali kuungana

ALEX KALAMA na VALENTINE OBARA SHINIKIZO imezidi kutolewa kwa magavana watatu wa Pwani waepuke kutengana katika uchaguzi...

Msiwape sikio wanaofanya siasa za ukabila, Gavana Mvurya aambia umma

Na SIAGO CECE GAVANA wa Kwale, Bw Salim Mvurya, ameonya umma kuhusu wanasiasa wanaotumia ukabila katika kampeni zao za uchaguzi...

Gavana Mvurya asifiwa kufadhili klabu za Kwale

Na ABDULRAHMAN SHERIFF GAVANA wa Kwale, Salim Mvurya amepongezwa kwa hatua yake ya kuzisaidia klabu za kaunti hiyo kwa gharama za...

Gavana ataka haki kwa mashindano ya utamaduni

Na KNA GAVANA kwale, Bw Salim Mvurya, ametaka kamati itakayochagua kikundi cha kuwakilisha kaunti hiyo kwenye mashindano ya kitaifa ya...

Kaunti yasifu basari kwa kuboresha elimu

Na SIAGO CECE SERIKALI ya Kaunti ya Kwale imeahidi kutolegeza kamba katika utoaji basari kwa wanafunzi, kama njia mojawapo ya kuboresha...

Mvurya ampigia debe naibu wake kuchukua usukani 2022

Na VALENTINE OBARA GAVANA wa Kwale, Bw Salim Mvurya, amesisitiza kwamba naibu wake, Bi Fatuma Achani ndiye anastahili zaidi kumrithi...

Urithi wa Mvurya waibua joto zaidi

Na MOHAMED AHMED SIASA za kurithi kiti cha ugavana Kaunti ya Kwale zimeanza kupamba moto huku naibu Gavana wa Kwale Fatuma Achani na...

Viongozi wataka Mvurya avalie joho la Sultan

VALENTINE OBARA na BRIAN OCHARO GAVANA wa Kwale, Bw Salim Mvurya, ametiwa presha ajitokeze wazi kuubeba mwenge wa kutoa mwelekeo wa...

Mvurya ausifu mpango wa elimu katika kaunti

Na WINNIE ATIENO GAVANA wa Kaunti ya Kwale Salim Mvurya amesifu uongozi wake akisema serikali yake imewekeza katika sekta ya...

Wanaonyemelea vipande vya ardhi ya umma waonywa Kwale

Na MISHI GONGO GAVANA wa Kaunti ya Kwale Salim Mvurya amewaonya wanaovamia misitu ya kaya na ardhi za umma katika kaunti hiyo, akisema...

Gavana Mvurya aamuru masoko yafunguliwe Kwale japo kwa masharti

Na WINNIE ATIENO GAVANA Salim Mvurya ameanza kufungua uchumi wa Kwale baada ya kuidhinisha kufunguliwa kwa masoko katika kaunti...