Samaki waoza kwa ukosefu wa jokofu la hifadhi

Na KALUME KAZUNGU WAVUVI katika Kaunti ya Lamu, wamelalamikia ukosefu wa vyombo vya kuhifadhi samaki wakisema imewaletea hasara...

Samaki azua hofu, akikuuma huonani na mke miezi 6

Na KALUME KAZUNGU WANAUME katika Kaunti ya Lamu wamekuwa wakiishi kwa uwoga wa samaki ambaye ni tisho kubwa kwa maisha yao ya...

AKILIMALI: Ufugaji wa samaki bila gharama kubwa

Na SAMMY WAWERU SAMAKI ni kati ya wanyama wa majini wanaoweza kufugwa nyumbani na ambao ufugaji wake haujakumbatiwa na wengi. Idadi...

Afueni kwa wavuvi kiwanda kikikamilika

Na KALUME KAZUNGU ZAIDI ya wavuvi 6,000 katika Kaunti ya Lamu wamepata afueni baada ya ujenzi wa kiwanda cha samaki eneo hilo...

AKILIMALI: Alipoteza vyote katika ghasia za 1992 ila sasa ni mfugaji hodari wa samaki jijini

Na SAMMY WAWERU KATIKA makazi tulivu eneo la kifahari la Kiamumbi mtaa wa Kahawa West, Nairobi, tunampata Patrick Kamau akikagua mradi...

Msako wa baharini wapunguza samaki

Na KALUME KAZUNGU UHABA wa samaki unashuhudiwa kwenye miji mbalimbali ya Kaunti ya Lamu tangu mwezi mtukufu wa Ramadhani ulipoanza rasmi...

Mapishi ya samaki aina ya salmon

Na MARGARET MAINA mwmaina@ke.nationmedia.com WAKATI mwingine mtu anakuwa amechoka na hangependa kupoteza muda jikoni. Hivyo basi,...

Jinsi ufugaji wa samaki unavyoweza kusaidia kuimarisha uchumi na kubuni ajira serikali ikiupiga jeki

Na SAMMY WAWERU MBALI na kuwa mkulima hodari wa matufaha, Peter Wambugu pia ni mfugaji wa samaki kwenye dimbwi eneo la Ngobit, Kaunti ya...

LISHE: Samaki wa mchuzi

Na MARGARET MAINA mwmaina@k.nationmedia.com Muda wa kuandaa: Dakika 15 Muda wa mapishi: Dakika 30 Walaji:...

AKILIMALI: Uuzaji samaki wawezesha mjane kujijengea ploti

Na PHYLLIS MUSASIA BIASHARA ya kuuza samaki huonekana kawaida wa watu wengi lakini kwake Bi Consolata Achieng’ ni kazi yenye...

Bei ya samaki yapanda kipindi hiki cha janga la corona

Na SAMMY WAWERU WAFANYABIASHARA wanaouza samaki Nairobi wanasema wanaendelea kukadiria hasara katika uuzaji wa bidhaa hiyo. Hii ni...

Jinsi ya kupika samaki kwa wali au sima

Na DIANA MUTHEU dmutheu@ke.nationmedia.com Muda: dakika 45 Vinavyohitajika kupika samaki Samaki 1 Tangawizi (kipande kimoja...