SHINA LA UHAI: Mto Ewaso Ng’iro hatarini kukauka

Na PAULINE ONGAJI UNAPOTAZAMA kwa umbali utadhani kwamba hili ni jangwa. Mchanganyiko wa matope na mchanga kwenye ardhi tambarare...

Wabunge waitaka serikali ikomeshe mauaji Samburu

Na CHARLES WASONGA WABUNGE wawili kutoka Kaunti ya Samburu wameitaka serikali kuimarisha usalama katika eneo bunge la Samburu Kaskazini...

Ni wakati wetu kupata maendeleo, wafoka wabunge wa maeneo kame

Na CHARLES WASONGA WABUNGE kutoka maeneo kame nchini (ASAL) wamewataka maseneta kutupilia mbali mfumo wa ugavi wa fedha kwa kaunti...

Mifugo Samburu wachanjwa

Na GEOFFREY ONDIEKI ogeoffrey2017@gmail.com Serikali imeanzisha kampeni ya kutoa chanjo ya ugonjwa wa miguu na mdomo katika kaunti ya...

Mbunge adai maisha yake yamo hatarini

Na GEOFFREY ONDIEKI ogeoffrey2017@gmail.com Mbunge wa Samburu Kaskazini Alois Lentoimaga sasa anadai kuwa maisha yake yamo...

Kitendawili cha msitu wa Kirisia Samburu

Na GEOFFREY ONDIEKI ogeoffrey2017@gmail.com Maafisa wa polisi kutoka idara ya misitu (KFS) wameanza kubomoa nyumba (manyatta) za...

Vijana Samburu wahamasisha jamii kuhusu corona

Na GEOFFREY ONDIEKI ogeoffrey2017@gmail.com Janga la virusi hatari vya Corona linapoendelea kuzua hofu humu nchini, baadhi ya vijana...

Yaibuka wasichana wanakeketwa kisiri Samburu

Na GEOFFREY ONDIEKI Ogeoffrey2017@gmail.com Juhudi za serikali na mashirika mbalimbali kumaliza ukeketaji wa wasichana katika kaunti...

HARAKATI ZA KUJIKIMU: Jamii ya ufugaji iliyobadili sura ya Samburu kwa kukuza mimea

Na SAMUEL BAYA KAUNTI ya Samburu inajulikana sana kwa sababu ya shughuli za ufugaji na zaidi biashara ya mifugo. Hii ni kwa sababu ya...

Wanafunzi wanavyokuza mboga jangwani

  NA RICHARD MAOSI Safari yetu mara hii ilitufikisha katika kaunti ya Samburu, ambayo inapatikana kaskazini mwa taifa la Kenya na raia...

Maafisa wakuu Samburu wakana dai la ulaghai wa Sh84 milioni

Na RICHARD MUNGUTI KARANI wa Kaunti ya Samburu, Bw Stephen Siringa na washukiwa wengine tisa walishtakiwa Ijumaa kwa kuidhinisha malipo ya...