Samia atema washirika wa Magufuli

Na CITIZEN DAR ES SALAAM, TANZANIA RAIS Samia Suluhu wa Tanzania amewatema mawaziri waliokuwa washirika wa karibu wa marehemu John...

Viongozi wa Chadema wakataa kikao na rais

Na MASHIRIKA DODOMA, Tanzania VIONGOZI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Jumatano walisusia mkutano wa kujadili...

DOUGLAS MUTUA: Rais Suluhu hasuluhishi, anavuruga

Na DOUGLAS MUTUA HIVI Rais Samia Suluhu Hassan wa Tanzania anasuluhisha mambo au anayavuruga kwa raha zake? Watanzania wanapumua kwa...

Suluhu aashiria kugombea kiti cha urais mwaka 2025

Na THE CITIZEN RAIS wa Tanzania Samia Suluhu ameashiria kuwa huenda akawania kiti cha Urais mnamo 2025 huku akikanusha vikali madai kuwa...

Rais Samia Suluhu asutwa kwa ‘kuumbua’ wanasoka wa kike nchini Tanzania

Na MASHIRIKA DAR ES SALAAM, TANZANIA RAIS Samia Suluhu Hassan wa Tanzania amekashifiwa vikali kwa kutaja wanasoka wa kike nchini...

Kibarua kwa Rais Suluhu joto la kudai katiba mpya likiongezeka

Na MWANDISHI WETU DAR ES SALAAM, Tanzania UPINZANI nchini Tanzania sasa unadai kuwa viongozi 41 wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo...

Rais Suluhu, SADC waomboleza kifo cha waziri wa ulinzi wa TZ

NA AFP RAIS Samia Suluhu Hassan jana alituma risala za rambirambi kufuatia kifo cha Waziri wa Ulinzi na Huduma za Kitaifa, Elias...

Talaka ya Uhuru na Ruto baraka kwa Tanzania

Na WANDISHI WETU NAIROBI, KENYA MVUTANO wa kisiasa baina ya Rais Uhuru Kenyatta na naibu wake William Ruto kuhusu siasa za urithi...

Samia azamia lugha yenye ladha ya kipekee

Na LEONARD ONYANGO RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, Jumatano aliwachangamsha wabunge kwa lugha yenye ‘mahanjam’ alipokuwa...

Suluhu asaidia kusuluhisha matatizo kati ya Wakenya na Watanzania

Na LEONARD ONYANGO RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan na mwenyeji wake Rais Uhuru Kenyatta wamepata suluhu ya masaibu yaliyokumba...

Rais Samia Suluhu wa TZ atua Kenya kwa ziara ya siku mbili

Na SAMMY WAWERU RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Bi Samia Suluhu Hassan amewasili nchini Jumanne kuanza ziara yake ya siku...

Rais Samia Suluhu kuhutubia kikao cha pamoja cha Bunge na Seneti Jumatano

Na LEONARD ONYANGO RAIS wa Tanzania Samia Suluhu Hassan atahutubia Bunge Jumatano mchana baada ya kufanya mazungumzo na mwenyeji wake...