Suluhu aashiria kugombea kiti cha urais mwaka 2025

Na THE CITIZEN RAIS wa Tanzania Samia Suluhu ameashiria kuwa huenda akawania kiti cha Urais mnamo 2025 huku akikanusha vikali madai kuwa...

Msafara wa Suluhu wasababisha msongamano Mombasa Road

Na LEONARD ONYANGO SHUGHULI za usafiri katika Barabara ya Mombasa - Mombasa Road - jijini Nairobi Jumanne asubuhi zilitatizika kwa saa...

Rais Suluhu aachilia huru wafungwa 5,001

NA THE CITIZEN RAIS wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amewaachilia wafungwa 5,001 waliokuwa wakitumikia vifungo mbalimbali katika magereza...

Wanaodai Magufuli aliuawa kwa sumu wajitokeze – Rais Suluhu

Na LEONARD ONYANGO Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amepuuzilia mbali madai ambayo yamekuwa yakienezwa katika mitandao ya kijamii...

KINYUA BIN KING’ORI: Rais Suluhu ametoa ishara atafanikisha demokrasia TZ

Na KINYUA BIN KING'ORI Tangu kifo cha aliyekuwa Rais wa taifa jirani la Tanzania Marehemu John pombe magufuli aliyetisha kila mtu nchini...

Suluhu akutana na ujumbe wa Uhuru, kukutana na Museveni

Na LEONARD ONYANGO RAIS Uhuru Kenyatta amemwalika kiongozi wa Tanzania Rais Samia Suluhu kuzuru Kenya ili kuimarisha na kukuza uhusiano...

Suluhu azima nyongeza ya ushuru, Wakenya wazidi kuumia

Na PAUL OWERE RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, ameionya Mamlaka ya Ushuru (TRA), dhidi ya kupandisha ushuru.Rais Suluhu alisema...

SULUHU APATA MPANGO TZ

NA MASHIRIKA RAIS mpya wa Tanzania Samia Suluhu alimteua Waziri wa Fedha na Mipango Dkt Philip Isdor Mpango kuwa makamu wake. Waziri...

Rais Suluhu aanza kazi kwa kutumbua majipu

Na THE CITIZEN SIKU chache tu baada ya kuapishwa, Rais Samia Suluhu ameanza kuchapa kazi kwa kumtimua Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya...

Suluhu atoa hongera kwa raia kwa uzalendo mkuu

Na MWANANCHI DAR ES SALAAM, Tanzania RAIS Samia Suluhu Hassan wa Tanzania, ameyashukuru makundi mbalimbali kwa kusimama na serikali...

Uhuru awahimiza Watanzania kuunga mkono Rais wao Samia Suluhu Hassan

Na SAMMY WAWERU JUMUIYA ya Afrika Mashariki (EAC) imepoteza mchapakazi aliyetaka kuiona ikiboreka kiuchumi, amesema Rais wa Kenya Uhuru...

WANGARI: Suluhu awe suluhu kweli kwa Tanzania na Afrika Mashariki

Na MARY WANGARI TAIFA la Tanzania linapojiandaa kumuaga buriani Rais John Pombe Magufuli Alhamisi, kuna mwanga wa matumaini kwamba...