Uwanja wa San Siro unaotumiwa na AC Milan na Inter Milan kubomolewa

Na CHRIS ADUNGO NAFASI ya uwanja maarufu wa San Siro ulioko jijini Milan, Italia inatarajiwa kuchukuliwa na uwanja mpya baada ya mamlaka...