Sonia: Chipukizi anayelenga nyayo za Priyank Chopra

Na JOHN KIMWERE NI msanii anayekuja katika tasnia ya uigizaji anayewachana maprodusa wenye kasumba ya kudumisha hadhi ya...

Asimulia alivyofunza kutumia sanaa kurembesha vifaa

Na MAGDALENE WANJA Alipokuwa akikua, Bi Naomi Namayi alikuwa na ndoto ya kufanya kazi katika idara ya upelelezi kama afisa wa...

SANAA YA KUPODOA: Alitanga na njia akitafuta ajira, wateja wanamtafuta wenyewe

Na MARGARET MAINA mwmaina@ke.nationmedia.com “YEYOTE anayejua bingwa wa kupodoa mjini Nakuru?" lilisoma chapisho kwenye mtandao ya...

COVID-19: Ubalozi wa Iran na washirika wazindua jukwaa la wachoraji vibonzo kuonyesha weledi wao

Na SAMMY WAWERU UGONJWA wa Covid-19 ambao uliripotiwa kwa mara ya kwanza Wuhan katika mkoa wa Hubei nchini China mwishoni mwa mwaka...

BURUDANI: Akeelah aahidi kuzingatia ushauri wa produsa talanta ifike kilele

Na ABDULRAHMAN SHERIFF MSANII chipukizi Fatma Hemedi Yahyah almaarufu Akeelah ni miongoni mwa kina dada waliobahatika katika ukanda wa...

UCHORAJI: Kijana Sifuma amebobea katika sanaa za maonyesho

Na MAGDALENE WANJA KEVIN Sifuma, 26, ni msanii wa uchoraji wa kazi za sanaa za maonyesho yaani visual arts. Anasema anategemea sana...

BURUDANI: Babu Tale kampongeza Sai Kenya kwa ufundi wake katika tasnia

Na ABDULRAHMAN SHERIFF ANAJIVUNIA kwa kutambuliwa na kumvutia Babu Tale, meneja wa msanii mashuhuri Diamond Platnumz kwa kuiga wimbo wa...

UBUNIFU: Sanaa ya mosaic yawafaa pakubwa Daniel na Gladys

Na MARGARET MAINA mwmaina@ke.nationmedia.com SANAA ya mosaic inahusisha kuunganisha vitu kama manyoya, plastiki, nyasi, vipande vya...

KIPWANI: Msanii Best Boomer

Na ABDULRAHMAN SHERIFF KWA msanii kuendeleza kipaji chake, anahitajika kuzunguka sehemu ambazo zinaweza kumuongezea soko lake hasa...

RIZIKI: Uchoraji wamvunia donge na kumpa tonge

Na MARGARET MAINA mwmaina@ke.nationmedia.com MCHORAJI Robert Chumbi, 28, huvutia wapitanjia na picha anazochora. "Kama msanii,...

SANAA: Anaimairisha viatu kwa ubora na mwonekano aupendao mteja

Na MARGARET MAINA mwmaina@ke.nationmedia.com NILIBAINI wapo watu wengi sana ambao hununua vitu sawa kwa wakati mmoja na ndipo...

FORT JESUS: Historia, utamaduni, utalii, sanaa na utafiti

NA RICHARD MAOSI Ngome ya Fort Jesus inasifika kote ulimwenguni kutokana na muundo wake wa kipekee, mbali na kuchangia kwa uchumi wa...