TAHARIRI: Pesa feki ni hatari kwa uchumi wetu

NA MHARIRI TANGU mwaka huu uanze, kumekuwa na ongezeko la visa vya watu kupatikana wakiwa na pesa zinazoshukiwa kuwa bandia. Mwezi...

Sarafu mpya zitawafaa vipofu – Isaac Mwaura

Na IBRAHIM ORUKO SENETA Maalum Isaac Mwaura amesifia sarafu mpya zilizozinduliwa wiki iliyopita na Benki Kuu ya Kenya (CBK) akisema kuwa...

COFEK yafika mahakamani kupinga sarafu mpya zikiundwa

Na RICHARD MUNGUTI SHIRIKISHO la Watumizi wa Bidhaa nchini (COFEK) limewasilisha kesi kupinga Benki Kuu ya Kenya (CBK) ikitengeneza sarafu...

Sarafu mpya zitastawisha utalii na kulinda wanyamapori – Balala

Na CHARLES WASONGA WAZIRI wa Utalii na Wanyama Pori Najib Balala amepongeza hatua ya serikali ya kuweka picha za wanyamapori katika...

Sarafu mpya bila nyuso za marais

Na PETER MBURU BENKI Kuu ya Kenya (CBK) Jumanne ilizindua sarafu mpya ambazo zinawiana na viwango vinavyohitajika kikatiba huku picha za...

Shilingi ya Kenya yaimarika zaidi

Na BERNARDINE MUTANU LICHA ya changamoto zinazoshuhudiwa nchini, shilingi ya Kenya imesalia dhabiti zaidi ikilinganishwa na sarafu...