SAUTI YA MKEREKETWA: Sekta ya elimu nchini itafaidi iwapo walimu watakubali mafunzo

Na HENRY INDINDI MJADALA umekuwepo nchini kuhusu mafunzo ya kisarifu kwa walimu ilivyopendekezwa na mwajiri wao, Tume ya Huduma kwa...

SAUTI YA MKEREKETWA: Wizara sasa ifanye uamuzi imara kuhusu vitabu teule vya fasihi

Na HENRY INDINDI MOJA katika mambo yaliyozua mijadala mikali katika siku za hivi majuzi ni kusuasua kwa uamuzi kuhusu kuteuliwa kwa ama...

SAUTI YA MKEREKETWA: Pendekezo la TSC kuifanyia mabadiliko kozi ya ualimu ni aula

Na HENRY INDINDI WIKI iliyopita kulikuwa na taarifa kutoka kwa Tume ya Huduma za Walimu (TSC) kuhusu mabadiliko yanayopendekezwa kwenye...

SAUTI YA MKEREKETWA: Wanetu wafanye kozi za teknolojia ili wasiachwe nyuma kimaisha-leo

Na HENRY INDINDI TUNATANGULIZA makala ya leo kwa kuwashukuru na kuwapongeza wanafunzi wote waliovuka vikwazo na ndaro za korona hata...

SAUTI YA MKEREKETWA: Heko tolatola kwa Baraza la Magavana kuthamini Kiswahili

Na HENRY INDINDI HUSEMWA chanda chema huvikwa pete. Katika jamii yenye mazoea ya kusema na kusema bila haja ya kusema na kutenda,...

SAUTI YA MKEREKETWA: Viongozi Afrika hawana punje ya ujasiri kwenye kuutumikisha uhuru

Na HENRY INDINDI KATIKA hotuba za kumwomboleza hayati Rais John Pombe Magufuli jijini Dodoma tarehe 22/03/2021 ilikuwa dhahiri kwamba...

SAUTI YA MKEREKETWA: Pumzika kwa amani Jemedari Magufuli

Na HENRY INDINDI KESHO kutwa katika mkoa wa Geita, eneo la Chato, nchini Tanzania kunafukiwa balozi na mtetezi mkubwa wa Kiswahili...

SAUTI YA MKEREKETWA: Ada inayotozwa na KICD ili kuidhinisha vitabu yatisha kweli

Na HENRY INDINDI MOJA katika masuala yanayozungumziwa kwa sauti za chini sana na wachapishaji na baadhi ya waandishi waliokuwa na nia ya...

SAUTI YA MKEREKETWA: Usalama wetu na wa watoto shuleni ni jukumu la ubia

Na HENRY INDINDI AKITANGAZA taratibu za kufunguliwa kwa shule hivi majuzi, Waziri wa Elimu, Prof George Magoha alitoa kauli ambayo...

SAUTI YA MKEREKETWA: Tunawaenzi mabalozi hawa wa Kiswahili katika mabunge ya kitaifa, Seneti

Na HENRY INDINDI ANAVYONUKULIWA na Ustadh Wallah bin Wallah katika Malenga wa Ziwa Kuu, Rais wa awamu ya tatu, Mhe Mwai Kibaki aliyasema...

SAUTI YA MKEREKETWA: Heko wadau kuwezesha wapenzi wote wa Kiswahili kumwomboleza Walibora

  Na HENRY INDINDI SASA tunakubali kwamba ndugu yetu Prof Ken Walibora alituacha maanake hatuna budi tena kukubali baada ya...

SAUTI YA MKEREKETWA: Eti kumkomboa Mwafrika? Ndoto tupu za alinacha!

Na HENRY INDINDI NITANGULIZE kwa kutangaza masikitiko makubwa kwa uanaharakati angamizi ambao hushuhudiwa Afrika Kusini kutokana na...