Migomo shuleni itafutiwe suluhu

Na MHARIRI MIGOMO ya wanafunzi wa shule za upili ambayo hushuhudiwa kila mwaka inafaa kusuluhishwa. Kila mara wanafunzi hao...

Hazina ya NG-CDF kufadhili elimu ya wanafunzi vyuoni

Na Lawrence Ongaro WANAFUNZI wa vyuo kutoka Thika wamehimizwa kujikusanya katika makunddi ili wanufaike na fedha za hazina ya kitaifa ya...

SEKTA YA ELIMU: Masomo ya redioni, mitandaoni si makamilifu bali ni ya ziada tu

Na CHARLES WASONGA MNAMO Jumatatu wiki hii Wizara ya Elimu kwa ushirikiano na Shirika la Habari Nchini (KBC) walianza rasmi kutoa...

SEKTA YA ELIMU: Usajili wa walimu kielektroniki utaimarisha usimamizi wao

Na CHARLES WASONGA MPANGO wa Tume ya Huduma za Walimu (TSC) wa kuwasajili walimu kielektroniki kote nchini umetajwa kama ambao...

SEKTA YA ELIMU: Serikali yarundika wanafunzi shuleni bila ya pesa za kutosha kuajiri walimu

Na CHARLES WASONGA KWA mara nyingine mpango wa Tume ya Huduma za Walimu (TSC) wa kuajiri walimu zaidi kupunguza tatizo la uhaba wa...

SEKTA YA ELIMU: Magoha atoe mipango thabiti ya mageuzi katika vyuo vikuu

Na CHARLES WASONGA HATUA ya Waziri wa Elimu Profesa George Magoha ya kupiga marufuku mwenendo wa vyuo vikuu vya umma kubuni mabewa...

SEKTA YA ELIMU: Serikali isifanye masihara na usalama wa wanafunzi shuleni

Na CHARLES WASONGA VIFO vya wanafunzi 14 katika Shule ya Msingi ya Kakamega Jumanne wiki iliyopita kwa mara nyingine ni ithibati kuwa...

SEKTA YA ELIMU: Uhamisho wa walimu utavuruga masomo Kaskazini Mashariki

Na CHARLES WASONGA INGAWA walimu ni afueni kwa walimu wasio wenyeji katika kaunti za Kaskazini Mashariki mwa Kenya baada ya Tume ya...

SEKTA YA ELIMU: Nani atawaokoa wazazi dhidi ya kupunjwa kwa karo hizi za ziada?

Na CHARLES WASONGA IMEBAINIKA kuwa wafanyabiashara, walimu wakuu, wanachama wa bodi za usimamizi za shule na baadhi ya wawakilishi wa...

SEKTA YA ELIMU: Tangazo la Magoha kuhusu karo halina mantiki na litawaumiza wazazi

Na CHARLES WASONGA HATUA ya serikali kuwaruhusu walimu wakuu kuongeza karo katika shule za upili ili kupata fedha za kufadhili ujenzi wa...

SEKTA YA ELIMU: Waliopata alama 350-399 katika hali ngumu wapewe shule za kitaifa

Na CHARLES WASONGA BAADA ya matokeo ya mtihani wa kitaifa wa darasa la nane kutangazwa sasa macho yote yanaelekezwa kwa shughuli ya...

SEKTA YA ELIMU: Serikali ichukue hatua madhubuti kuhusu suala la usalama shuleni

Na CHARLES WASONGA RIPOTI iliyoandaliwa kwa udhamini wa Chama cha Walimu wa Shule za Upili na Vyuo vya Kadri (Kuppet) imethibitisha kuwa...