AFCON: Senegal wakomoa Cape Verde na kuingia robo-fainali

Na MASHIRIKA FOWADI Sadio Mane alifungulia Senegal ukurasa wa mabao katika ushindi wa 2-0 dhidi ya Cape Verde mnamo Jumanne usiku na...

Penalti ya Sadio Mane yasaidia Senegal kuzamisha Zimbabwe katika mechi ya Kundi B kwenye AFCON

Na MASHIRIKA PENALTI ya sekunde za mwisho wa kipindi cha pili kutoka kwa fowadi Sadio Mane wa Liverpool iliwezesha Senegal kukomoa...

Kiongozi wa upinzani Ousmane Sonko atimuliwa kwa ubakaji Senegal

Na AFP DAKAR, Senegal KIONGOZI wa chama kikuu cha upinzani nchini Senegal Ousmane Sonko amesema atajiwasilisha mahakamani Jumatano...

Msanii Omar Blondin Diop alivyoteswa akipigania haki za raia wa Senegal

NA FLORIAN BOBIN Maisha ya mwanaharakati na msanii wa Senegal Omar Blondin Diop, aliyeuawa mwaka 1973 kwa kupigwa risasi chini ya...

MAJABALI: Senegal, Super Eagles waanza vyema safari

Na MASHIRIKA SENEGAL na Nigeria zilikuwa kati ya timu zilizoanza kampeni ya kufuzu kushiriki Kombe la Afrika (Afcon) mwaka 2021 kwa...

Firmino, Mane wang’aa gozi la Brazil na Senegal

Na MASHIRIKA IDARA ya ushambuliaji ya Liverpool ilitoa nyota wa mechi ya kirafiki huku Brazil ikikabwa 1-1 na Senegal mnamo Alhamisi...

FAINALI KALI: Algeria na Senegal kukwaana leo Ijumaa

Na MASHIRIKA CAIRO, Misri MBIVU na mbichi kwenye makala ya 32 ya Kombe la Afrika itajulikana leo nchini Misri wakati Teranga Lions ya...

Fataki kulipuka Senegal na Algeria wakipapurana

Na CHRIS ADUNGO FATAKI zinatarajiwa kulipuka leo jijini Cairo wakati Senegal watakapochuana na Algeria katika mechi ya pili ya...

AFCON: Senegal imani kwa kikosi cha Kombe la Dunia

Na CHRIS ADUNGO MWISHONI mwa wiki jana, kocha Aliou Cisse wa timu ya taifa ya Senegal aliwadumisha wachezaji 16 aliowategemea kwenye...

Senegal vs Madagascar: Shabiki afariki kabla ya mechi

CECIL ODONGO Na AFP SHABIKI wa soka alifariki Jumapili huku wengine 40 wakinusurika na kupata majeraha mabaya kabla ya mchuano wa soka...

Colombia yazima tumaini la Afrika Kombe la Dunia

Na GEOFFREY ANENE TIMU ya mwisho ya Afrika, Senegal imeondolewa kwenye Kombe la Dunia linaloendelea nchini Urusi baada ya kuzabwa 1-0 na...

The Lions of Teranga watafuna na kumeza Lewandowski na wenzake

Na CECIL ODONGO HATIMAYE bara zima la Afrika limenguruma, vigelegele vimetanda kote barani miongoni mwa mashabiki kindakindaki wa mchezo...